Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ni wakristoHii ni style ya wakristo au waislam..
Maana Ujenzi wa makabuli wa waislam upo kwenge Sunna na kwenye Vitabu its all instructed
Yaa mle ndani kunabaki na uwazi wake maana kaburi linakua limejengewa kuanzia chini kama choo ni mfunikobwa juu wa zege ndio unamiminiwa pale juu basiMwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k.
Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo?
Na kama ni hivyo, wanapotupia udongo kwenye kaburi huwa ni kiasi kidogo tu kama ishara ya kumzika marehemu?
Anhaa wakristo wanajenga kwa kutumia nondo na zege na mifuniko inakuwa imeundwa na vigae..Ni wakristo
Hii ni ya wakristoHii ni style ya wakristo au waislam..
Maana Ujenzi wa makabuli wa waislam upo kwenge Sunna na kwenye Vitabu its all instructed
Basi sawaKila siku tunawafukia wenzetu wakirito kwa koleo masanduku yao ushushwa kwa kamba mpaka chini kisha ushindiliwa na udongo ss waisilamu atuziki mfu kwenye sanduku bali tuna mvilingisha kwenye nguo kisha tuna weka mbao juu yake au nyasi lakini mbao hizo azigusani na mfu kisha tuna fikia udongo habari inaishia hapo
Swala gan hili? Mbona raia wa kawaida tu wanazika hivi now day?Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k.
Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo?
Na kama ni hivyo, wanapotupia udongo kwenye kaburi huwa ni kiasi kidogo tu kama ishara ya kumzika marehemu?
Mnashangaza mbona watu mtaani wanatumua njia hio pia? wakristo lakini,Udongo mdogo sana ule wanaomwaga waombolezaji angalia la JPM na lowasa na mkapa naona ni zege tupu juu. Ndani pamesakafiwa saaafiii na vigae pembeni vimebandikwa poaaaa,chini vimawe mawe vya madoido au vigae