Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k.

Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo?

Na kama ni hivyo, wanapotupia udongo kwenye kaburi huwa ni kiasi kidogo tu kama ishara ya kumzika marehemu?
Yaa mle ndani kunabaki na uwazi wake maana kaburi linakua limejengewa kuanzia chini kama choo ni mfunikobwa juu wa zege ndio unamiminiwa pale juu basi
 
Kila siku tunawafukia wenzetu wakirito kwa koleo masanduku yao ushushwa kwa kamba mpaka chini kisha ushindiliwa na udongo ss waisilamu atuziki mfu kwenye sanduku bali tuna mvilingisha kwenye nguo kisha tuna weka mbao juu yake au nyasi lakini mbao hizo azigusani na mfu kisha tuna fikia udongo habari inaishia hapo
Basi sawa
 
Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k.

Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo?

Na kama ni hivyo, wanapotupia udongo kwenye kaburi huwa ni kiasi kidogo tu kama ishara ya kumzika marehemu?
Swala gan hili? Mbona raia wa kawaida tu wanazika hivi now day?
 
Udongo mdogo sana ule wanaomwaga waombolezaji angalia la JPM na lowasa na mkapa naona ni zege tupu juu. Ndani pamesakafiwa saaafiii na vigae pembeni vimebandikwa poaaaa,chini vimawe mawe vya madoido au vigae
Mnashangaza mbona watu mtaani wanatumua njia hio pia? wakristo lakini,
 
Back
Top Bottom