Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

Tz eneo ni kubwa sana, tuzikane tu.

Ninyi mnaotaka kuzikwa town ndo mnataka mubanebane vinafasi ili na ninyi mkifa mzikwe town
 
nimeshuhudia watu wakichimba kaburi juu ya lingine kwa maksudi kwasababu tu lile la awali halina alama, hili ninkosa na ukosefu wa utu.
Nashukuru mkuu umenipeleka nilikotaka kuuliza zaidi, nami nimeshuhudia hilo kwa macho yangu mitaa fulani hapa Dar, nikaandika uzi humu ila haukupata wachangiaji
👇
 
Nini maana ya "Kaburi ni nyumba ya milele" iwapo kaburi halijajengewa?
Ni usumbufu tu na gharama zisizokuwa na tija.

Unaelewa maana ya nyumba ya milele katika muktadha huo ?

Je kaburi linalojengewa linaweza likakaa milele?
 
Back
Top Bottom