Nimeshiriki mazishi kadhaa katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dsm, na kujionea jambo ambalo hakuna mamlaka inayolizungumzia wala kulitafutia ufumbuzi wa kudumu. Jambo nililoliona kuwa na changamoto kubwa ni ufinyu wa maeneo ya kuzika wapendwa wetu, nilichosikitishwa nacho zaidi ni pale baadhi...