carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 591
- 1,382
Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba.
Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na kwenye nusu duara la box la 18. Kitendo hiki cha kuchimbua sehemu ya uwanja na kuacha mashimo kinaweza kuleta athari kwa wachezaji kwa kuwaletea majeruhi.
Je, kwenye mchezo wa soka unaamini katika ndumba!!?(uchawi).