Makadirio mbao kupaua nyumba vyumba 5 na sebule?

Ukishapata idadi tuwasiliane nikupe mbao kwa bei nafuu saana. Nipo Buguruni utakuja na tape na calculator yako.
 
Mdau nahitaji mbao za kuezeka Bukoba nipe contract wapi napata
 
Mdau nahitaji mbao za kuezeka Bukoba nipe contract wapi napata
 
Kama lengo lako ni kuogopa kupigwa fanya hivi.

1, tafuta mafundi wasiojuana kama watatu hv. then kila mmoja akupe estimation zake za materials and labor.
2.Mbao kanunue Sao hills wako Ubungo. mbao zao ni za ukweli n hawaibi vipimo
 
Nakubaliana na makadirio yako,kuna fundi amekadiria ya kwangu bati za mita tatu 70 misumari ya bati kg 20 na kofia 18 na valley 8 misumari kama ilivyo kwenye makario yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…