Habarini wakuu, naomba kama kuna mwenye uzoefu anipe makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vi 3 (chumba kimoja self na viwili vya kawaida), sitting, dinning, jiko, (choo na bafu public).
Nataka kutumia matofali ya kuchoma ambapo tofali moja linauzwa sh 120.
Natumai humu ndani tuna WAKADILIA MAJENZI (QUANTITY SURVEYOR) sisi wengine ni WAPIMA/WATAALAMU WA SPATIAL DATA (GEOINFORMATICIAN)
Hao wakadilia majenzi ndo wataalam wa fani hiyo. Pamoja na hilo naomba nikupongeze sana kwa hatua unayoanza kuichukua. MUNGU akubariki akusimamie uweze kukamilisha kazi yako.
Pia kama utaitaji mtu maalumu wa kukufanyia kazi kwa bei nafuu naweza kukuunganisha unaweza nicheki UPENUNI
location.????
size ya vyumba?
size ya kiwanja.?
upatikanaji wa vitendea kaz.?
unaweza kuwa unajenga sekenke. unategemea kila kitu kitoke singida mjin.
ujenz ni sehem pana sana.
For real maelezo yko ni finyu kiasi cha mtu kushindwa kukupa exactly cost ya huo mjengo wako labda ungesema mahali ulipo, finishing ya hiyo nyumba na ufafanuz zaidi, lakn kwa ujumla km unataka iwe bora na ya kuvutia km materials yanapatkana kirahc andaa at least 25ml ila ya kawaida tu hata 12ml inatosha (Provided kiwanja unacho maana kinaweza kuwa ghari kushinda gharama za ujenzi!!)