Huku Tarime mkuu.Ni wapi huko kiongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku Tarime mkuu.Ni wapi huko kiongozi?
[emoji15] [emoji16] [emoji15] [emoji33]Vyumba vitatu nyumba standard andaa at least million 120.
Duh...!Vyumba vitatu nyumba standard andaa at least million 120.
Natumai humu ndani tuna WAKADILIA MAJENZI (QUANTITY SURVEYOR) sisi wengine ni WAPIMA/WATAALAMU WA SPATIAL DATA (GEOINFORMATICIAN)
Hao wakadilia majenzi ndo wataalam wa fani hiyo. Pamoja na hilo naomba nikupongeze sana kwa hatua unayoanza kuichukua. MUNGU akubariki akusimamie uweze kukamilisha kazi yako.
Pia kama utaitaji mtu maalumu wa kukufanyia kazi kwa bei nafuu naweza kukuunganisha unaweza nicheki UPENUNI
Hongera bibi sasa wajukuu tutapata sehemu ya kuja kukaa.Nimemaliza juzi 3 bedrooms house Mkuranga, imenigharimu 45m. Finished bila gharama ya land na landscaping.
Hongera bibi sasa wajukuu tutapata sehemu ya kuja kukaa.
Sio nywele hizo ...kila MTU awenazo..hats motto MDOGO...wengine mje tu home mupige nayo picha.....alaaaaaaaNtajenga kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Atakuwa anajengea Kigoma mkuu maana me naiuza Dangote cement for that priceKuna mdau anataka kuanza ujenzi Nampa big up ila maandalizi yake anasema amefyatua tofali mwenyewe 4000 kwa gharama ya mfuko WA cement 19000,naomba kujua cement hiyo ni Tanzania hii hii au maana mtaani kwetu cement 12000- 13500,swala LA msingi je hizo gharama anapewa tu na fundi then ye anatoa hela? Maana ushauri ukitaka kweli kujenga buildings material inabidi uzunguke maduka kadhaa kufananisha bei vinginevyo utauziwa mfano WA cement 19000 wakati uliyemtuma kalipa 12500,huoni utakuwa unaibiwa kwa uvivu wako au ni contractors company ndio kakupa bei hiyo.
ilikugharimu tofali ngapi?Nimemaliza juzi 3 bedrooms house Mkuranga, imenigharimu 45m. Finished bila gharama ya land na landscaping.