Ujenzi wa nyumba ni mradi, sawa na kumsomesha mtoto toka chekechea mpaka chuo kikuu, kipindi unaanza kusomesha ukipigiwa hesabu utachoka, ujenzi ili usikupe mawazo kila mwezi peleka site kiasi flani ambacho kitasaidia kununulia mahitaji . Jenga hata kwa miaka 10 mwishowe itaisha tu na kuhamia kwako ambako ndo utapiga hesabu ya gharama uliyotumia.