Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Usisahau kuna kuchimba msingi, kuna zege la msingi pia.
Estimate ya 5-7m ni sawa.
Hapo pamoja na material na ufundi si ndio??au ufundi peke yake ndio hiyo amount??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kuna kuchimba msingi, kuna zege la msingi pia.
Estimate ya 5-7m ni sawa.
We unasimuliwa au ulikuwa unawatumia wahuni ela wanapiga msingi huchukua matofali 1500 mpaka 2000 ambazo ni mil 1.5 mpaka m 2 na ela ya fund ikizid sana mil 3.5 jumlay msingi
Kuna watu wanajenga nyumba kwa 2milion maeneo mengne
Mm naongeleaa kwa mbeya kaka tofali bei ndogo sanaHiyo ni kweli kuna jamaa mafundi wake wamejenga nyumba nzuri na ni kiasi kidogo sanaa unaweza kunipa details za mafundi wazuri kama unazo??
Msing 2mHivi kujenga tu msingi inaweza kufika 7M kwa msingi peke yake....
Yaani 13mm x 15mm iyo ni Nyumba au kiberiti kwa milioni 15??
Yaani 13mm x 15mm iyo ni Nyumba au kiberiti kwa milioni 15??
Yaani 13mm x 15mm iyo ni Nyumba au kiberiti kwa milioni 15??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyumba ya kichina au ya kizungu
Hizo nyumba gani mnaongelea? Yangu ina vyumba 4 imenigharimu takribani sh 120m hadi finishing. Msingi hadi lenta ilinigharimu takribani sh 20m.
Mkuu tofali na material kila kitu kipo shambani sema tofai zangu ni inch 6 na zipo 2000 hizo ni msingi peke yake sasa ikafikia kukubaliana mambo ya ujenzi tu hapo ndio akaniambia nimpe hiyo 7M wakati vitu vyote nimeshanunua na nimeweka kiwanjani......
Upo sahihi,mi yangu ina vyumba 3 pamoja na study room,msingi umenigharimu takribani 3.5m,mawe peke trip 20 zikinigharimu 1.1m,hadi muda huu ambapo sijafunga linta naweza kuwa nimetumia zaidi ya 7m(japo huwa situnzi kumbukumbu za gharama za kila siku..)Gharama zinatofautiana kati ya mji na mji sehemu na sehemu pia
120m umejenga ghorofa?Hizo nyumba gani mnaongelea? Yangu ina vyumba 4 imenigharimu takribani sh 120m hadi finishing. Msingi hadi lenta ilinigharimu takribani sh 20m.
Sorry 120m ni pamoja na 16m za fensi120m umejenga ghorofa?
mkuu hiyo ni indication kuwa bei hubadilika kutokana na eneo husika ulilopoMara milioni 25 ,12 ,45, 50 Msemaukweli no yupi sasa?
Mm naongeleaa kwa mbeya kaka tofali bei ndogo sana