Kweli mkuu,mimi nina nyumba yangu mchakato wake nilianza january mwaka huu...ina master moja,Bedroom tatu,sitting room,dining,kitchen,choo na bafu.Nimefyatua tofari za Block 4000 mimi mwenyewe....gharama yake nimekokotoa kwa kila tofari ni km 770....nilinunua cement kwa 19500 kwa mfuko.Hii ni phase one...so next month nategemea ujenzi uanze mwanzo mpala mwisho maana nimebakiza Nondo tu...na kokoto...Kupaua bado sana bajeti sijaiwekaUjenzi wa nyumba ni mradi, sawa na kumsomesha mtoto toka chekechea mpaka chuo kikuu, kipindi unaanza kusomesha ukipigiwa hesabu utachoka, ujenzi ili usikupe mawazo kila mwezi peleka site kiasi flani ambacho kitasaidia kununulia mahitaji . Jenga hata kwa miaka 10 mwishowe itaisha tu na kuhamia kwako ambako ndo utapiga hesabu ya gharama uliyotumia.
Mbwembwe tu.Ntajenga kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asantee Maana nilianza kukata tamaa[emoji57] [emoji57]Ujenzi wa nyumba ni mradi, sawa na kumsomesha mtoto toka chekechea mpaka chuo kikuu, kipindi unaanza kusomesha ukipigiwa hesabu utachoka, ujenzi ili usikupe mawazo kila mwezi peleka site kiasi flani ambacho kitasaidia kununulia mahitaji . Jenga hata kwa miaka 10 mwishowe itaisha tu na kuhamia kwako ambako ndo utapiga hesabu ya gharama uliyotumia.
Zipi hizo?!Mbwembwe tu.
Safi sana, kama ulikuwa kichwani mwangu vile.Nyumba ya kisasa makadirio ni sh milioni 50
Aisee wewe umenipa idea kweli...vitu vingine inakubidi ujitoe ufahamu akili itakuja mbele kwa mbele kama ulivyofanyaUkitaka kutafuta gharama halisi au makadirio kwamba ni kiasi gani cha fedha utatumia katika kujenga unaweza usijenge kabisa kama kipato chako ni cha kuungaunga, mambo hayo yanawafaa wenye uhakika wa fedha, au wale wanaochukua mikopo kwa ajili ya ujenzi. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilipata zari nikapata kiasi cha fedha nikaweza kununua kiwanja maeneo ya Yombo Vituka. baada ya kununua hicho kiwanja sikuwa na pesa nyingi ambayo ingeweza kuanzisha ujenzi. Nikatafakari sana nikaibuka na wazo la kuwa ninaenda site kila Jumamosi hata kama nina fedha ya kununua mfuko mmoja wa simenti na kumlipa fundi wa kufyatua. Nilienda mwendo huo mwaka haukuisha nikawa nimemaliza nyumba. Nilipokuja kujumlisha hesabu sikuamini ni wapi ningeweza kupata kiasi hicho cha pesa kwa mara moja au hata kwa awamu nne!
Yakichina ikoje na kizungu ikojeNyumba ya kichina au ya kizungu
Habarini wakuu, naomba kama kuna mwenye uzoefu anipe makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vi 3 (chumba kimoja self na viwili vya kawaida), sitting, dinning, jiko, (choo na bafu public). Nataka kutumia matofali ya kuchoma ambapo tofali moja linauzwa sh 120. Msingi utatumia matofali ya block. Heshima kwenu.
For real maelezo yko ni finyu kiasi cha mtu kushindwa kukupa exactly cost ya huo mjengo wako labda ungesema mahali ulipo, finishing ya hiyo nyumba na ufafanuz zaidi, lakn kwa ujumla km unataka iwe bora na ya kuvutia km materials yanapatkana kirahc andaa at least 25ml ila ya kawaida tu hata 12ml inatosha (Provided kiwanja unacho maana kinaweza kuwa ghari kushinda gharama za ujenzi!!)
Uskate tamaaNtajenga kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Utajenga baba,kujenga ni wito sio uwezoNtajenga kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni wapi huko kiongozi?Nyumba kama huku kwetu najenga chini ya millioni 10.