General 5887
Member
- Nov 3, 2022
- 51
- 38
Kwa ushauriHbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Hakuona yaliyomkuta mwenzake kule GobaUnajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA
Sio lazimaUnajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Nmeuliza kwa upande wa nondo bossUnajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Ushauri niliiomba ni upande wa nondo.kwani nampango wa kusomba kiwandani kwa wakati m1..ndio maana nmeuliza tone 5.zitatosha mpk slab.maana ghorofa ni nondo.Jamaa kaomba ushauri,
Instead ya ushauri kila mtu anakuja kujipigia pande apewe mchongo.
Ingekua hilo ndo lengo lake angeweka uzi rasmi kua anatafta mtu wa hivo vitu.
Kaomba general ushauri, if ypu know something share kila mtu apate chochote, huu ukiritimba wa kutaka kuvuta pembeni ni uboya.
Ni lazima na ukijenga bila kufuata masharti unapigwa faini na kuzuiwa ujenziSio lazima
🤣🤣🤣Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Mkuu,sasa ka.a mtu unajenga mdo mdo??Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Alafu mkuu nondo za kusimama si zinatakiwa mil 16 au??then kwenye slab ndo upige hizo 12Hbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Kanyumba kagorofa 1 tu..#juu room 1 tu...Alafu mkuu nondo za kusimama si zinatakiwa mil 16 au??then kwenye slab ndo upige hizo 12
Hizi complications hazisaidii sana sana zinafanya mambo kuwa magumu.Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
40 ft ni sawa na 12m sio 13. Hata hivyo sio sawa kuwa nguzo moja itaingia vipande vitatu. Kwa msingi pekee nondo moja ya nguzo inaweza kuwa na urefu wa mita 2.7 (mkunjo wa base 0.5m, urefu wa shimo la nguzo 1.5m, urefu wa mwendelezo lap length 0.7). Bado hujaweka urefu wa nguzo yenyewe kabla ya jamvi ambapo itakuwa nayo ni 3m.Hesabu Nguzo ziko ngapi, nondo moja ya 40ft ambayo ni sawa na 13m kwenye nguzo moja inakatwa na kuingia vipande viatu.
Nguzo za kusimama zinatumika 16mm kwa experience yangu ya majengo mengi
Pia utatumia Ringi 8mm pamoja na binding wire
Nguzo moja yenye vipande vinne vya nondo ya 16mm na ringi ya 8mm roughlyinakua na gharama ya 60,000 hivo utahesabu jumla una nguzo ngapi za ground floor mara bei hiyo hapo juu.
Pia kwa hesabu hiyo utaweza kuhesabu nondo zinaingia ngapi kwenye nguzo zote kutokana na structural drawings
Size ya jengo lako kubwa mno. Usinunue nondo bila kupata structural design. Maana utahitaji nondo za size tofauti tofautiHbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.