Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Zungusha fensi la mabati
Ndani jenga banda kubwa la mabati kama store yako
Ajiri masai mlinzi
Vitu vya msingi vya kuanzia
Semi trela la sementi
Semi trela la nondo
hakikisha umemwaga kokoto tipa 30
Mchanga tipa 28
Tofali elfu 13
Nguzo za mirunda semi trela 1
Yale mabodi magumu 100
Milioni 50 kwa ajili ya matumizi ya kazi
Kwamba ghorofa 1 itumie 32T za Nondo?
 
Zungusha fensi la mabati
Ndani jenga banda kubwa la mabati kama store yako
Ajiri masai mlinzi
Vitu vya msingi vya kuanzia
Semi trela la sementi
Semi trela la nondo
hakikisha umemwaga kokoto tipa 30
Mchanga tipa 28
Tofali elfu 13
Nguzo za mirunda semi trela 1
Yale mabodi magumu 100
Milioni 50 kwa ajili ya matumizi ya kazi
Kama huna utaalamu baki kuwa msomaji kama sisi
 
Hbr wana JF,

Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft

JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.

Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Mkuu, ghorofa halijengwi kwa nondo ya 12mm pekee. Zipo sehemu zitahitaji 8mm, 10mm, 12mm na kuendelea kutegemea na structural design ya jengo lako. Nikushauri jambo:
1. Mtafute architect akuchoree mchoro.
2. Mtafute structural engineer akufanyie design ya loading.
3. Mtafute QS akufanyie makadirio ya mradi wako(japo sio lazima sana) hasa Kama huna wasiwasi na kipato chako na pia Kama unazo plan za kujenga pole pole. Ila hao no.1 na no. 2 ni muhimu sana. Na sio pesa nyingi kihivyo ukizingatia ukubwa wa mradi wako.
Baada ya hapo ni vitu vingine ni vidogo vidogo sana.
All the best mkuu.
 
Ukweli mchungu ni huu: watu wengi tunaogopa kutumia wataalam kwa kigezo cha kukwepa au kupunguza gharama za ujenzi. Ingawa matokeo yake hayaendani na malengo tarajiwa.
 
Zungusha fensi la mabati
Ndani jenga banda kubwa la mabati kama store yako
Ajiri masai mlinzi
Vitu vya msingi vya kuanzia
Semi trela la sementi
Semi trela la nondo
hakikisha umemwaga kokoto tipa 30
Mchanga tipa 28
Tofali elfu 13
Nguzo za mirunda semi trela 1
Yale mabodi magumu 100
Milioni 50 kwa ajili ya matumizi ya kazi
Kokoto tipa 30 unajenga shule!
 
Back
Top Bottom