Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
ingekuwa hivyo dar kungekuwa mabango mangapi? watu wanajenga tu ilmradi umepata kibali. Na wengine hata vibali unakuta hawana maana ukianza kutafuta kibali utapoteza muda mwingi sana na rushwa kibao. Ni bora ujenge tu siku wakija wanakupiga faini na kesho yake wanakupa kibali bila longolongo za rushwa
 
Demand, kama wateja wasingekuwa wananunua nondo za bei rahisi maana yake hao wauzaji wasingeexist
Maana yake ni Umasikini ndo sababu wanashusha viwango ili wauze
 
Namimi naomba kuuliza,hivi hesabu za kokoto unaweza kuzikadiriaje?...

Kwamfano cubic meter Moja ya kokoto inaweza kumwagwa ktk area ya sqm ngapi? Kwa slab!....au mfano jengo langu Lina upana wa 16m kwa 14m ktk hiyo slab inatakiwa niaandae kokoto cubic meters ngapi?...
 
To be sure, zidisha hiyo 16X14X.15 au 16X14X.2 kutegemeana na thickness ya slab.
NB: Mafundi wengi huwa wana unganisha beam (lenta) na slab. Kama hujafunga lenta inaweza ikaongezeka 20m3 nyingine ya lenta. So in total jipange kumimina around 60m3.
 
Nakushukuru sana mkuu wangu na ubarikiwe![emoji120]
 
To be sure, zidisha hiyo 16X14X.15 au 16X14X.2 kutegemeana na thickness ya slab.
NB: Mafundi wengi huwa wana unganisha beam (lenta) na slab. Kama hujafunga lenta inaweza ikaongezeka 20m3 nyingine ya lenta. So in total jipange kumimina around 60m3.
Sorry naomba nipongeze swali hapo....je,naweza kujuaje makadirio ya Nondo ninazoweza kutumia kwenye hiyo slab ya size hii,na je naweza kutumia za 10mm au lazima ziwe 12mm? Asante in advance
 
Sorry naomba nipongeze swali hapo....je,naweza kujuaje makadirio ya Nondo ninazoweza kutumia kwenye hiyo slab ya size hii,na je naweza kutumia za 10mm au lazima ziwe 12mm? Asante in advance

Kwa uzoefu, zinaweza ingia tani 3.5-4. Mchanganyiko wa 8mm, 12mm na 16mm.
 
Density ya nondo inatakiwa iwe 7850Kg/m³ ambapo kimahesabu tonne moja ya nondo za 12mm zinatakiwa ziwe pc 94...kama unapata zaidi ya hapo basi ujue nondo zako hazijafikia hiyo density ya 7850Kg/m³
Density ya nondo inatakiwa iwe 7850Kg/m³ ambapo kimahesabu tonne moja ya nondo za 12mm zinatakiwa ziwe pc 94...kama unapata zaidi ya hapo basi ujue nondo zako hazijafikia hiyo density ya 7850Kg/m³
Nimewakubali wote kwa maelezo yenu ya kitaalamu ambayo mmetupatia humu. Tatizo ni pale wataalam mnavyopingana, hiyo ndiyo inawapa ujasiri watu kujifanyia mambo yao kivyao.
Ukimchukua Mtaalamu A ukaenda naye site atakupa ushauri huu, ukienda na mtaalam B, yeye atakupa utaalamu tofauti na akikuta kuna kitu ulikianza kama ulivyoshauriwa ataki diss sana hicho kitu.
Wataalamu hawakubaliani, hapo watu ndiyo wanaona wao hawakubaliani ya nini tufuate mawazo yao?
 
Zungusha fensi la mabati
Ndani jenga banda kubwa la mabati kama store yako
Ajiri masai mlinzi
Vitu vya msingi vya kuanzia
Semi trela la sementi
Semi trela la nondo
hakikisha umemwaga kokoto tipa 30
Mchanga tipa 28
Tofali elfu 13
Nguzo za mirunda semi trela 1
Yale mabodi magumu 100
Milioni 50 kwa ajili ya matumizi ya kazi
 
Hapo anakua anajenga fly-over au?
 
Back
Top Bottom