Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Mafundi uchwara ndio wanasababisha pesa za kujengea tumwagilie moyo,wapo vizuri kweli kuongeza sifuri
 
Hbr wana JF,

Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft

JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.

Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Brother nisikilize mjinga mimi.
1. Huwezi kukadiria ujenzi wa ghorofa bila
-Architectural drawing
- Structural drawing
2. Architectural drawing hii ni ramani ya nyumba yenye floor plan, 3D yaani muonekano halisi wa nyumba utakavyokuwa baada ya kujengwa

3. Structural drawing...hii ni michoro ya layout ya chuma, hii ni skeleton ya nyumba.
Katika hii michoro, zitachorwa nondo za,-
- Base/footing...kitako cha nguzo...size zake
-unene wa nondo za nguzo/ columns
- layout na size na idadi ya nondo za beam
-layout ya kitanda/floor..
Katika floor inaweza kupendekezwa
A) Bottom bed iwe 12mm na
B) top bed iwe 10mm
Haya mapendekezo hutolewa na Structural engineer kutegemea na mzigo utakaobebwa.

Sasa mkuu baada ya kuwa na
1. Architecural drawing
2. Structural drawing
Ndipo unamkabidhi mkadiriaji majenzi...QS
Kama una ramani hizi nipe nikukadirie bure

Tuepuke kufanya mambo makubwa kwa
MKATO.

NOTE: 12mm katika tani moja ziko 110.
Ujenzi ni maisha yetu heshimu taaluma wakuu

Nondo za local zina wastani 9kg hivyo katika tani yenye 1,000kg zinaingia nondo 110 hadi 111.

Nondo std hasa BS zina wastani wa 10.4kg/nondo hinyo katika 1000kg(tani) huingia wastani nondo 98 hadi 100
 
Hbr wana JF,

Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft

JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.

Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Je hio hio ton moja ya nondo ni bei gan?,nahitaji kufahamu na mimi
 
Jamaa kaomba ushauri,
Instead ya ushauri kila mtu anakuja kujipigia pande apewe mchongo.
Ingekua hilo ndo lengo lake angeweka uzi rasmi kua anatafta mtu wa hivo vitu.
Kaomba general ushauri, if ypu know something share kila mtu apate chochote, huu ukiritimba wa kutaka kuvuta pembeni ni uboya.
Watu wametanguliza hela mbele hamna utu tena
 
Brother nisikilize mjinga mimi.
1. Huwezi kukadiria ujenzi wa ghorofa bila
-Architectural drawing
- Structural drawing
2. Architectural drawing hii ni ramani ya nyumba yenye floor plan, 3D yaani muonekano halisi wa nyumba utakavyokuwa baada ya kujengwa

3. Structural drawing...hii ni michoro ya layout ya chuma, hii ni skeleton ya nyumba.
Katika hii michoro, zitachorwa nondo za,-
- Base/footing...kitako cha nguzo...size zake
-unene wa nondo za nguzo/ columns
- layout na size na idadi ya nondo za beam
-layout ya kitanda/floor..
Katika floor inaweza kupendekezwa
A) Bottom bed iwe 12mm na
B) top bed iwe 10mm
Haya mapendekezo hutolewa na Structural engineer kutegemea na mzigo utakaobebwa.

Sasa mkuu baada ya kuwa na
1. Architecural drawing
2. Structural drawing
Ndipo unamkabidhi mkadiriaji majenzi...QS
Kama una ramani hizi nipe nikukadirie bure

Tuepuke kufanya mambo makubwa kwa
MKATO.

NOTE: 12mm katika tani moja ziko 110.
Ujenzi ni maisha yetu heshimu taaluma wakuu
Mmmmh mbona mnatuchanya,alieleta huu uzi amesema ton moja ya nondo 12mm zipo 89 akaja mtaalamu mwingine hapo juu akasema sio 89 ila ni 94 na wewe tena umesema ton moja ya nondo 12mm zipo 110 sasa tumuamini yupi[emoji2369]

"NOTE: 12mm katika tani moja ziko 110.
Ujenzi ni maisha yetu heshimu taaluma wakuu"
 
Mmmmh mbona mnatuchanya,alieleta huu uzi amesema ton moja ya nondo 12mm zipo 89 akaja mtaalamu mwingine hapo juu akasema sio 89 ila ni 94 na wewe tena umesema ton moja ya nondo 12mm zipo 110 sasa tumuamini yupi[emoji2369]
Nisikilize, ninanunua nondo kila siku.

Tani 1=1,000kg
Nondo 12mm ina 9kg
Piga hesabu

cheki hapo chini...uzito kwa nondo za local ni 9k wanapunja lkn std ni 10.4kg
Screenshot_20230501-195052_Chrome.jpg
 
Nisikilize, ninanunua nondo kila siku.

Tani 1=1,000kg
Nondo 12mm ina 9kg
Piga hesabu

cheki hapo chini...uzito kwa nondo za local ni 9k wanapunja lkn std ni 10.4kg
View attachment 2606471
Density ya nondo inatakiwa iwe 7850Kg/m³ ambapo kimahesabu tonne moja ya nondo za 12mm zinatakiwa ziwe pc 94...kama unapata zaidi ya hapo basi ujue nondo zako hazijafikia hiyo density ya 7850Kg/m³
 
Density ya nondo inatakiwa iwe 7850Kg/m³ ambapo kimahesabu tonne moja ya nondo za 12mm zinatakiwa ziwe pc 94...kama unapata zaidi ya hapo basi ujue nondo zako hazijafikia hiyo density ya 7850Kg/m³
Nondo za local hazina kiwango, hata diameter zake ukipima kwa caliper hazijai 12mm
 
Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Stika zinauzwa
 
Unataka kujenga nyumba ya Sqm 210 mkuu mbona hiyo ni shule ya kata kabisa [emoji276]hiyo nyumba hadi inaisha andaa milioni 105
Mbona ghorofa watu husema ni milioni 200?
 
Back
Top Bottom