HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wanaojiita mainjinia,wanachukua kazi kisha wanawapa mafundi maikoMafundi uchwara ndio wanasababisha pesa za kujengea tumwagilie moyo,wapo vizuri kweli kuongeza sifuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaojiita mainjinia,wanachukua kazi kisha wanawapa mafundi maikoMafundi uchwara ndio wanasababisha pesa za kujengea tumwagilie moyo,wapo vizuri kweli kuongeza sifuri
Je tatizo ni TBS, Umasikini au uhuni wa viwanda?Nondo za local hazina kiwango, hata diameter zake ukipima kwa caliper hazijai 12mm
ingekuwa hivyo dar kungekuwa mabango mangapi? watu wanajenga tu ilmradi umepata kibali. Na wengine hata vibali unakuta hawana maana ukianza kutafuta kibali utapoteza muda mwingi sana na rushwa kibao. Ni bora ujenge tu siku wakija wanakupiga faini na kesho yake wanakupa kibali bila longolongo za rushwaUnajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Demand, kama wateja wasingekuwa wananunua nondo za bei rahisi maana yake hao wauzaji wasingeexistJe tatizo ni TBS, Umasikini au uhuni wa viwanda?
Maana yake ni Umasikini ndo sababu wanashusha viwango ili wauzeDemand, kama wateja wasingekuwa wananunua nondo za bei rahisi maana yake hao wauzaji wasingeexist
To be sure, zidisha hiyo 16X14X.15 au 16X14X.2 kutegemeana na thickness ya slab.Namimi naomba kuuliza,hivi hesabu za kokoto unaweza kuzikadiriaje?...
Kwamfano cubic meter Moja ya kokoto inaweza kumwagwa ktk area ya sqm ngapi? Kwa slab!....au mfano jengo langu Lina upana wa 16m kwa 14m ktk hiyo slab inatakiwa niaandae kokoto cubic meters ngapi?...
Nakushukuru sana mkuu wangu na ubarikiwe![emoji120]To be sure, zidisha hiyo 16X14X.15 au 16X14X.2 kutegemeana na thickness ya slab.
NB: Mafundi wengi huwa wana unganisha beam (lenta) na slab. Kama hujafunga lenta inaweza ikaongezeka 20m3 nyingine ya lenta. So in total jipange kumimina around 60m3.
Kilitokea nn mkuu hukoHakuona yaliyomkuta mwenzake kule Goba
chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Sorry naomba nipongeze swali hapo....je,naweza kujuaje makadirio ya Nondo ninazoweza kutumia kwenye hiyo slab ya size hii,na je naweza kutumia za 10mm au lazima ziwe 12mm? Asante in advanceTo be sure, zidisha hiyo 16X14X.15 au 16X14X.2 kutegemeana na thickness ya slab.
NB: Mafundi wengi huwa wana unganisha beam (lenta) na slab. Kama hujafunga lenta inaweza ikaongezeka 20m3 nyingine ya lenta. So in total jipange kumimina around 60m3.
Sorry naomba nipongeze swali hapo....je,naweza kujuaje makadirio ya Nondo ninazoweza kutumia kwenye hiyo slab ya size hii,na je naweza kutumia za 10mm au lazima ziwe 12mm? Asante in advance
Makadirio haya ni pamoja na beam au slab tu?Kwa uzoefu, zinaweza ingia tani 3.5-4. Mchanganyiko wa 8mm, 12mm na 16mm.
Beam + SlabMakadirio haya ni pamoja na beam au slab tu?
Density ya nondo inatakiwa iwe 7850Kg/m³ ambapo kimahesabu tonne moja ya nondo za 12mm zinatakiwa ziwe pc 94...kama unapata zaidi ya hapo basi ujue nondo zako hazijafikia hiyo density ya 7850Kg/m³
Nimewakubali wote kwa maelezo yenu ya kitaalamu ambayo mmetupatia humu. Tatizo ni pale wataalam mnavyopingana, hiyo ndiyo inawapa ujasiri watu kujifanyia mambo yao kivyao.Density ya nondo inatakiwa iwe 7850Kg/m³ ambapo kimahesabu tonne moja ya nondo za 12mm zinatakiwa ziwe pc 94...kama unapata zaidi ya hapo basi ujue nondo zako hazijafikia hiyo density ya 7850Kg/m³
Hapo anakua anajenga fly-over au?Zungusha fensi la mabati
Ndani jenga banda kubwa la mabati kama store yako
Ajiri masai mlinzi
Vitu vya msingi vya kuanzia
Semi trela la sementi
Semi trela la nondo
hakikisha umemwaga kokoto tipa 30
Mchanga tipa 28
Tofali elfu 13
Nguzo za mirunda semi trela 1
Yale mabodi magumu 100
Milioni 50 kwa ajili ya matumizi ya kazi
We unadhani ghorofa ni chumba na sebule selfu eeeh!Hapo anakua anajenga fly-over au?