Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Kwamba ghorofa 1 itumie 32T za Nondo?
 
Kama huna utaalamu baki kuwa msomaji kama sisi
 
Mkuu, ghorofa halijengwi kwa nondo ya 12mm pekee. Zipo sehemu zitahitaji 8mm, 10mm, 12mm na kuendelea kutegemea na structural design ya jengo lako. Nikushauri jambo:
1. Mtafute architect akuchoree mchoro.
2. Mtafute structural engineer akufanyie design ya loading.
3. Mtafute QS akufanyie makadirio ya mradi wako(japo sio lazima sana) hasa Kama huna wasiwasi na kipato chako na pia Kama unazo plan za kujenga pole pole. Ila hao no.1 na no. 2 ni muhimu sana. Na sio pesa nyingi kihivyo ukizingatia ukubwa wa mradi wako.
Baada ya hapo ni vitu vingine ni vidogo vidogo sana.
All the best mkuu.
 
Kiukweli kuna mambo nmeokota kwenye huu uzi
 
Ukweli mchungu ni huu: watu wengi tunaogopa kutumia wataalam kwa kigezo cha kukwepa au kupunguza gharama za ujenzi. Ingawa matokeo yake hayaendani na malengo tarajiwa.
 
Kokoto tipa 30 unajenga shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…