Makadirio ya ujenzi Contemporary ya room 3

Makadirio ya ujenzi Contemporary ya room 3

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
DSC_0443.JPG
Screenshot 2024-05-22 083412_083932.png
Screenshot 2024-05-22 083440_083925.png
Screenshot 2024-05-22 082531_083045.png
Screenshot 2024-05-22 082319_083042.png
Screenshot 2024-05-22 082625_083037.png


DSC_0442.JPG


Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.

Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana hapo juu.

Nipo tayari kutoa vielelezo vingine kama vitahitajika.
 
Kwa makadirio ya chap andaa walau 40millions kama upo Dar, lakini kama upo mkoa tofauti na Dar andaa walau 50millions.
Ushauri:
1. Badilisha dinning ije kwenye bedroom 1 and bedroom 1 ikawe kwenye dinning.
2. Achana na roof less utakuja kunishukuru, otherwise amua kumwaga zege ndio ifunike nyumba.
 
View attachment 2996492View attachment 2996495View attachment 2996496View attachment 2996497View attachment 2996498View attachment 2996499

View attachment 2996494

Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana hapo juu.
Nipo tayari kutoa vielelezo vingine kama vitahitajika
Kwenye master bedroom sijaona dressing room
Pia sijaona sehemu ya kuweka washing machine
 
Quantity surveyor ni mtaalamu anayendaa B.O.Q na kazi yake ni ta kitaalamu kama alivyo daktari,architect,valuer nk ,so lazima ugharamike kupata huduma yake .achana na kuomba gharama kienyeji.andaa laki 3 nikuandalie Bills of Quantity kitaalamu
 
Ramani nzuri, design nzuri, hapo ni wewe na constructors wako tu, usimamizi mzuri hasa kwenye hiyo roof utakupa kitu kizuri. 190sqm ni nyumba kubwa(kwa viwango vyetu)
 
Back
Top Bottom