Makadirio ya ujenzi Contemporary ya room 3

Floor plan inaonyesha eneo, zingatia neno eneo (sio ukubwa) wa nyumba. Inaonyesha nyumba inachukua eneo kiasi gani(surface area), ndio maana ikaandikwa Square metre na sio cubic metre
Sio kweli
Floor area ni, floor za ndani ambazo zimeexclude walls(internal na external)
Ni internal dimensions ambazo pia zimeondoa interrnal walls.
Swali langu kwako, ukitaka kujua ukubwa wa nyumba huwa hujumuishi nafasi zilizobebwa na kuta?
 
Nimekuambia floor plan ni eneo lote la nyumba(surface area) including walls, plan inakupa dimensions zote including wall sizes. 2D plan inampa foreman uwezo wa ku-determine vipimo wakati wa kufanya layout ya nyumba.

Tatizo lako badala ya kuelezeà floor plan unaelezea floor area(which exclude walls).

Swali langu bado hujajibu, hiyo plan hapo ina eneo la sqm ngapi? Umesema 242sqm, toa proof.
 
Attachments

  • IMG-20240702-WA0001.jpg
    IMG-20240702-WA0001.jpg
    25.4 KB · Views: 5
Nimekuambia floor plan ni eneo lote la nyumba(surface area) including walls, plan inakupa dimensions zote including wall sizes. 2D plan inampa foreman uwezo wa ku-determine vipimo wakati wa kufanya layout ya nyumba.

Tatizo lako badala ya kuelezeà floor plan unaelezea floor area(which exclude walls).

Swali langu bado hujajibu, hiyo plan hapo ina eneo la sqm ngapi? Umesema 242sqm, toa proof.
Hadi hapa naamini umenielewa na tumeelewana, je hiyo 189sqm hapo kwenye mchoro wamesema ni nini?
Wamesema ni Floor Area, kwa maana ndani tu kwenye safafu na ndio maana nikakuambia hiyo floor area ya 189sqm sio ukubwa wa nyumba
 
Mkuu,
Hiyo 189.7sqm ni floor plan(including walls), BTW, huenda akawa sawa kuwa ni floor area(excluding walls), mimi na wewe hatujapima so none is sure. Nataka tu unipe majibu, 242sqm uneipataje, mind you umesema ni 242sqm, how did you get it?
 
We jamaa hebu soma kilichoandikwa hapo, ni Total Floor Area 189.7sqm
Ni kwamba huoni vizuri?

We jamaa unasema hiyo 189sqm huenda ikawa ni floor area? Hii huenda ya nn wakati imeandikwa hapo kuwa ni floor area na nyie mkaichukua hapo na mkasema ni ukubwa wa nyumba, na nndio ilifanya tukaanza kubishana hapa. Kwa nn tena unataka uweke doubt ikiwa imeandikwa hapo . Au ww uliposema ukubwa ni 189sqm uliipata wapi? Si umesema imeandikwa hapo

tunarudi kwenye 242sqm. Hapa tunazungumzia ukubwa wa nyumba na ndio tukaanza ubishi, mm nilikataa sio 189.
hiyo 242 ni simple calculation tu ya urefu 13.3 mara upana 18.2

Nakuwekea chini kilichoandikwa itakua mmesahau hata mlichokichukua hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20240719-170836_1.jpg
    Screenshot_20240719-170836_1.jpg
    100.6 KB · Views: 5
We jamaa hebu soma kilichoandikwa hapo, ni Total Floor Area 189.7sqm
Ni kwamba huoni vizuri?

We jamaa unasema hiyo 189sqm huenda ikawa ni floor area? Hii huenda ya nn wakati imeandikwa hapo kuwa ni floor area na nyie mkaichukua hapo na mkasema ni ukubwa wa nyumba, na nndio ilifanya tukaanza kubishana hapa. Kwa nn tena unataka uweke doubt ikiwa imeandikwa hapo . Au ww uliposema ukubwa ni 189sqm uliipata wapi? Si umesema imeandikwa hapo

tunarudi kwenye 242sqm. Hapa tunazungumzia ukubwa wa nyumba na ndio tukaanza ubishi, mm nilikataa sio 189.
hiyo 242 ni simple calculation tu ya urefu 13.3 mara upana 18.2
Nilipobold panafanya mjadala wetu uishie hapo, hakuna simple calculations kwenye complex issues kama hii. Ndio maana nilikuambia hapa ni either ukae chini ufanye elimination ya hizo spaces zilipoachwa kwenye angles au utumie CAD programmes kama archicad, autocad nk kukusaidia kufanya calculations.
 
Ww ukubwa unacalculate vipi? Built up area unaipataje?
Wakati wa ujenzi wa kutengeneza profile, hizo space unaziondoa?
 
We jamaa hebu soma kilichoandikwa hapo, ni Total Floor Area 189.7sqm
Ni kwamba huoni vizuri?

We jamaa unasema hiyo 189sqm huenda ikawa ni floor area? Hii huenda ya nn wakati imeandikwa hapo kuwa ni floor area na nyie mkaichukua hapo na mkasema ni ukubwa wa nyumba, na nndio ilifanya tukaanza kubishana hapa. Kwa nn tena unataka uweke doubt ikiwa imeandikwa hapo . Au ww uliposema ukubwa ni 189sqm uliipata wapi? Si umesema imeandikwa hapo

tunarudi kwenye 242sqm. Hapa tunazungumzia ukubwa wa nyumba na ndio tukaanza ubishi, mm nilikataa sio 189.
hiyo 242 ni simple calculation tu ya urefu 13.3 mara upana 18.2

Nakuwekea chini kilichoandikwa itakua mmesahau hata mlichokichukua

Ww ukubwa unacalculate vipi? Built up area unaipataje?
Wakati wa ujenzi wa kutengeneza profile, hizo space unaziondoa?
Acha ujuaji kwa vitu ambavyo sio taaluma yako
 
Ilipaswa sasa mwenye taaluma useme, na ndio maana nilikuuliza swali.

Lakini umejuaje mm hii si taaluma yangu?
Kama hujui sqm znapatkana vp ,swali ambalo nila mtoto wa diploma anaechukua engineering ,sasa nawezaje kutoa maelezo zaidi?
 
Ww ukubwa unacalculate vipi? Built up area unaipataje?
Wakati wa ujenzi wa kutengeneza profile, hizo space unaziondoa?
Sema mkuu una kichwa kizito, au una uelewa unaopitiliza...any of the two might be right! Kwamba 13.3m x 18.2m ndio floor plan in sqm?
 
Kaka ebu achana na huyo mtu,hana anachojua kuhusu Building Square metres calculation
 
Sema mkuu una kichwa kizito, au una uelewa unaopitiliza...any of the two might be right! Kwamba 13.3m x 18.2m ndio floor plan in sqm?
Hapo ni sawa na mm niseme hivyo kwako, kuwa una kichwa kizito ah huelewi

Nadhani Hadi hapa kwanza tumekubaliana hiyo 189sqm sio ukubwa wa nyumba. Hili limeisha

Huo urefu na upana, kwa nn unakataa hauwakilishi ukubwa wa nyumba? Hili ndio ulipaswa kunijibu
Kwa nn unakataa 13.3 times 18.2 sio ukubwa wa hiyo nyumba. Nadhani tuanzie hapa
 
Back
Top Bottom