Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Kwanini kila room usiweke choo chake? Hafu kimoja kikawa public. Ila ramani kali sana.Ndio mkuu
Hapo ngoja nimuoneshe dogo flani..Ushauri umepokelewa kwenye mbwembwe. Vipi hivyo vyoo gharama si itapanda ukizingatia plumbing na materials?
kama Pesa ipo acha awekeKwanini kila room usiweke choo chake? Hafu kimoja kikawa public. Ila ramani kali sana.
Nahisi gharama kubwa itakuja kwenye izo mbwembwe za nje, I wish ungeweka plain upunguze mbwembwe za ukuta.
Kwenye master bedroom sijaona dressing roomView attachment 2996492View attachment 2996495View attachment 2996496View attachment 2996497View attachment 2996498View attachment 2996499
View attachment 2996494
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana hapo juu.
Nipo tayari kutoa vielelezo vingine kama vitahitajika