Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

Ben umeniliza kwa mara nyingine,hata hivyo nakushukuru.
Mungu atatulipia kisasi juu ya wauaji,bila shaka CCM.
 
Ben umenitoa machozi. damu ya Mawazo isipumzike mpaka ijipatie kisasi kwa wale waliotoa uhai wake bila sababu yoyote. Damu yake na iwe chachu ya mabadiriko ya kweli ambayo mpaka sasa ni maigizo na geresha! Pumzika kwa amani mwana mwema wa Tanganyika!

Umenigusa sana
 
Hakika Mawazo alikuwa mbia wako,pole sana naamini pamoja na kuishi ndoto yako unaishi na yake pia ili kumuenzi.
 
Hongera sana Ben Saanane. Ni kweli wema hawaishi. Mungu amrehemu na ampunzishe pema Marehemu kamanda ALPHONCE MAWAZO CHEMU. Adhabu kubwa ya Mungu itawafuata waliofanya UHAYAWANI huu wa kishetani....kamwe kama Mungu aishivyo hawataendelea kuvuta hiyo pumzi ya mwenyenzi Mungu wakaendelea kudunda kimaisha...na wao wajiandae. Hakuna damu itakayomwagwa bure ikaendelea kutulia...Damu ya Kamanda MAWAZO itawalilia usiku na mchana...
 
Hongera Sana Ben , Nice makala umetupa mwanga .
Usiache kuvaa viatu vyake kama una nafasi hiyo
R.I.P Mawazo.
 
You CCM g**Y and a bunch of butchers,
If you really mean that Alphonce Mawazo is a weed smoker.........Then why killed him?????A weed smoker must be out of his/her senses. You're the one, that's why you killed Mawazo.For your info. Alphonce is a HERO and you're just a mere COWARD very afraid of Mawazo and you killled him just to vindicate your cowardice. One of these days you gonna pay the price. Nonsense.

R.I.P CAMARADA ALPHONCE MAWAZO. God shall revenge for you like He did to Cain who killed his brother Abel. Amen.
Common_wildebeest.jpg
 
Inasikitisha sana,halafu bado watu wa propaganda wataendelea imba Tanzania ni Kisiwa cha amani mbali na mauaji ya aina hii .Imeniumiza sana kukatisha uhai wa mtu asie na hatia(Mungu akulaze pema Mawazo).
 
Inasikitisha sana,halafu bado watu wa propaganda wataendelea imba Tanzania ni Kisiwa cha amani mbali na mauaji ya aina hii .Imeniumiza sana kukatisha uhai wa mtu asie na hatia(Mungu akulaze pema Mawazo).

Inaumiza sana .....................
 
Chadema mkishamzika mawazo mtatumia nini kutafuta umaarufu wa kisiasa? Maana huu msiba kwenu ni sherehe ya kisiasa mnatamani akae mochwari ata mwaka ili nyie mpate kick.

Kweli ninyi Maccm hamchoki kumwaga damu za watu, mnamzurumu haki yake na bado mnamuuwa, huu ni ujambazi, yaani uccm ni ushetani, shetani ndio mwenyekazi ya kuua watu.

Na ilaaaniwe CCM, na misinge yake yote kwa kumwaga damu zisizo kuwa na hatia.

Walaaniwe wote waliohusika na mauwaji haya, maisha yao na yawe ya hofu na woga siku zote.

Ilaaniwe kila yeyote aliyehusika na mpango wa mauwaji haya hata kama alisikia na akanyamanza pia.

Walaaniwe pilisi wote, ambao wamepuzia jambo hili na kuzuia haki isitendeke.

CCM, CCM, utaacha lini kuuwa watu, ambao wapo katika haki zao.

Ni CCM ambayo ilimua Daudi Mwangosi kule Iringa, chini ya kamanda Michael Chamuwanda, ni CCM ndio iliuwa wale watu kwa mabomu kule Arusha wakati wa kufunga kampeni za udiwani chini ya uratibu wa Mwiguru Nchemba.

Ni CCM hii hii, iliwauwa watu 21 kwa risasi mwaka 2001, wakiwa katika maandamano ya amani.

Tunajua haya yote yana mwisho, Mungu yupo, ipo siku huu utawala wa kidhalimu unaouwa watu wake utafika mwisho.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Kwa mara nyingine tena nimelia sababu ya hii makala. Mawazo, mtu wa Mungu nenda ukapumzike kwa amani. Kama damu ya Abili iliyomwahika pasipo na hatia, ikaendelea kulia kwa ajili ya haki yake, ndio imani yetu, damu yako italia kwa wote waliohusika na mauwaji haya mkono wa sheria ufanye kazi yake.

Damu yako itazidi kulia, ili demokrasia ya kweli ipatikane Tanzania, sio namna hii, Nape Nnauye kashindwa ubunge ila ndiye ambaye anatangazwa mshindi.

Damu yako na izidi kulia kwa ajili ya kupatikana kwa Katiba mpya, ambayo inatokana na maoni ya wananchi.
 
Chadema mkishamzika mawazo mtatumia nini kutafuta umaarufu wa kisiasa? Maana huu msiba kwenu ni sherehe ya kisiasa mnatamani akae mochwari ata mwaka ili nyie mpate kick.

Fikiri kabla ya kunena unaweza ukadhani utawafurahisha hao mabwana zako kumbe wao pia wanakuona kama carcass tu hapo ujui ulifanyalo.
 
Ben Saanane. Salute! Una kipaji cha uandishi na uchambuzi. Nilikuwa sijui. Mzee Mwanakijiji cha mtoto.

Kwa vile uko huko juu kabisa, please wawekeeni ulinzi viongozi muhimu kama hawa. Bado natatizwa sana na picha zile akiwa amecharangwa mapanga amejilaza pembeni mwa barabara akijigeuza geuza huku akiwa peke yake bila msaada wo wote. Ina maana hakuwa hata na walinzi/wapambe? Mtu muhimu na mkubwa hivi katika chama? Megeni fungu kutoka katika mamilioni ya ruzuku yakalinde viongozi muhimu kama hawa. Hakuna binadamu anayestahili kuuawa kinyama namna ile!

Screenshot_20230506_085554_Chrome.jpg
 
Ben Saanane, umenitoa chozi kaka, dah! Utaishi kama bandiko lako litakavyoishi bila kufutika, Mungu akutie nguvu. R.I.P A.Mawazo.
 
Pole sana Kamanda, makala yako imenifanya nimfahamu vizuri Mawazo.
Mungu alilaze roho yake mbinguni
 
Kamanda Ben pole sana na msiba wa Kijana mwenzetu, sisi sote njia moja naungana na ww damu za watu zisimwagike bure. Nchi hii sio salama tena.. RIP makamanda wote
 


Huyo Jamaa ni kwanini aliuliwa kwani alikuwa Mhalifu, ni wivu wa mapenzi au ni nini?
Mimi simfahamu!
 
Back
Top Bottom