Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

Si WEMA tu HATA WAKOSOAJI WA TAWALA ZA KIIMLA HAWADUMU KTK USO WA DUNIYA. Tupo tayari kumwaga damu za wengine kwa sababu ya kutofautiana mawazo,Tupo tayari kumwaga damu za wengine kuepuka kusikia ukosoaji wao na bado tunajiona tunastahili kuwa viongozi. Udhalimu utalipwa tu, ima ukiwa mfu au maiti, damu unazomwaga utazilipia tu, Yaani haiwezekani kamwe haiwezekani maonevu haya yakapita hivi hivi ipo siku isiyo na jina yatalipiwa.
 
Mh!!!
hicho kitabu Ben sambamba na mdomo wako vilikufanya ujitoe kafara kina Yericko Nyerere wanamlaumu Maliyamungu
Mpishe mbali kichaa mwenye smg mkononi hadi jitihada za kumpora zitakapofanikiwa
 
Kwa kweli umetoa somo kwetu.
 
HII MAKALA NILIISOMA MIAKA MITANO ILIYOPITA RAIA MWEMA ,NIKIWA BADO NI MWANAFUNZI NILIKUWA NAPIGANA KWA UDI NA UVUMBA KUHAKIKISHA NAPATA NAKALA YA GAZETI LA RAIA MWEMA KILA J5.

Aisee SIJUI HATA ULIPO BEN.
ILA BEN MKUBWA ametutoka.
mshamba J anawamaliza akina Ben.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…