Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

KWENYE NCHI ZA WENYE MAENDELEO YA AKILI HUWEZI KUTA TAKATAKA ZA HIVI.
ANGALIA WANAWAKE WA
1.KIHINDI (WAHINDI WANAONGOZA DUNIAN KWA KUSIMAMIA MAKAMPUNI NA MASHIRIKA)
2.KICHINA (WACHINA WANAONGOZA KWA BIASHARA DUNIANI KOTE)
3.WAZUNGU (WA MAGHARIBI) WANAONGOZA UCHUMI, SIASA, UTAMADUNI,IMANI, TEKNOLOJIA, DUNIAN KOTE

WATU WA HIZI KABILA TATU HAWANA SIJUI MAMBO ZA UKUMBWA WA MAKALIO SIJUI NINI.NI MTU MWEUSI TU!!

NASIKIA UKUBWA WA MAKALIO NI UKUBWA WA M..NDU PIA.SASA SIJUI NI SIFA HII😂😂
 
Jamii izo makalio ya kutafuta sana na ndo pia wanatoa warembo wakubwa duniani,Njoo bongo hapa kujibinua akili zote zipo matakoni
 
Weee, acha kuchanganya madesa uchumi ni uchumi na tako ni tako au mzigo wa tako, sio mchezo, usichanganye subjects..!! Hivi hujui kazi ya msambwanda ww, bado uko kwenye uchumi, ukimaliza uchumi ukikua, utajua msambwanda ndio zaidi ya uchumi.

Wenye uchumi mkubwa na hali nzuri, matajiri wanaume wanakimbilia kula msambwanda, level yako bado ww kimbizana na uchumi kwanza, wenzako uchumi uko vizuri na mitako/mizigo inafukuliwa.

So don't mix issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…