Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenezi Makalla ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika Soko la kati jijini Arusha, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro