Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂
Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa wanaitukutuza CCM hawatokei. Vijana hawa tunaowana wanajitoa akili saivi hata vumbi lao hutaliona.
Au nasema uongo ndugu zangu? johnthebaptist Malaria 2 Tlaatlaah @lucasmwashambwa ChoiceVariable

====
"...CCM ina uwezo mkubwa wa kujaza Mikutano bila wasanii, CCM ina wanachama milioni 12, CCM ndio chama kikubwa Tanzania CCM ndio chama namba moja Afrika...CCM ni chama kikubwa kina mtaji wake wa wananchi na wanachama.....wasanii ni sehemu ya ratiba ya burudani lakini sio kigezo cha kujaza watu katika mikutano...."Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM - Amos Makalla.