"...CCM ina uwezo mkubwa wa kujaza Mikutano bila wasanii, CCM ina wanachama milioni 12, CCM ndio chama kikubwa Tanzania CCM ndio chama namba moja Afrika...CCM ni chama kikubwa kina mtaji wake wa wananchi na wanachama.....wasanii ni sehemu ya ratiba ya burudani lakini sio kigezo cha kujaza watu katika mikutano...."Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM - Amos Makalla.
Ila awareness ya Watanzania wengi kwenye masuala ya siasa imeshuka sana...
Hata wasanii kwenye siasa hawana mvuto kama zamani..
Lakini wanasiasa wetu wamekuwa waganga njaa na kufanya siasa za kujitafutia mali.... Imewafanya waanchi wengi kuachana na ushabiki wa siasa kama ilivyokuw zamani..
Muda si mrefu tutaanza kubeba team za mpira kwenda nazo kwenye majukwaa ya siasa

My lady,
kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 kwa zaidi ya 98%, wananchi na waTanzania wa vyama vyote vya siasa nchini,
watachagua mgombea urasi, wabunge na madiwani wa CCM October mwaka huu2025, kwasababu ndio wanaokubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi kama machampioni wa kuchochea maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Hayo mengine ya sanaa na muziki,
ni katika kujiburudisha na kufurahi pamoja kama waTanzania baada ya ufanisi mkubwa katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Huna haja ya kubabaika CCM kuwaunganisha waTanzania wa makundi yote kwa pamoja. Haachwi mtu hatoki mtu ndani ya CCM ๐
Charisma. Either you are born with it or you don't have it! This CPA fella is as dull as a rock. How he became katibu mwenezi is one of the greatest wonders of the universe! ๐ฎ
Ila awareness ya Watanzania wengi kwenye masuala ya siasa imeshuka sana...
Hata wasanii kwenye siasa hawana mvuto kama zamani..
Lakini wanasiasa wetu wamekuwa waganga njaa na kufanya siasa za kujitafutia mali.... Imewafanya waanchi wengi kuachana na ushabiki wa siasa kama ilivyokuw zamani..
Muda si mrefu tutaanza kubeba team za mpira kwenda nazo kwenye majukwaa ya siasa
Sababu hasa ni dhalimu magu kuharibu demokrasia ya nchi hii na kutaka ccm kukubalika kwa shuruti. Ifahamike wapinzani ndio walikuwa wanaleta hamasa. Baada ya kaunza kuhujumiwa waziwazi, kutekwa, kuhujumiwa shughuli zao za kuwaingizia kipato, na hata kuuwawa kwa uratibu wa vyombo vya dola, ccm imejikuta ikibaki yenyewe lakini ikiwa haina mvuto. Ifahamike ccm sio chama cha vijana, bali wazee, vijana wachache wasaka vyeo, na mazombie.
Hii ndio sababu ya kushuka kwa hamasa ya siasa nchini. Na ccm hawawezi kukubali siasa za ushindani wa kweli kwani kwao haiwalipi.
Nikiwa nonpartisan naomba niseme tu Vijijin bila wasanii CCM wanajaza tu.
Wananchi wa wilayani (ukiondoa wilaya za mkoa wa arusha na Kilimanjaro hasa zilizoko moshi mjini na maeneo jirani) bado wanaamini kwenye UCCM na zile scarf na T-shirt za kijani bila kusahau kofia. Kitenge na kanga ni mbali Sanaa maana wanaopata ni wachache