Makamanda mbona hatuulizii nyumba ya Tsh milioni 60 walionunua viongozi wetu Serengeti?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.

Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?

Tuwe tunahoji bila uoga
 
Peleka Bangi zako Lumumba
 
Jiandae uwende kwenye mkutano leo mnamchagua mwenyekiti wenu acha umbeya asubuhi asubuhi.
 
Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.

Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?

Tuwe tunahoji bila uoga
Kwani CAG Kichere amesemaJe ?!. Nyumba moja ya Cdm inakutoa imani . Ufujaji unaofanyika kwenu huko umewahi kuhoji ?!
 
Ungeweka taarifa kamili sio wote walipitia taarifa ya CAG...Halafu ukija na uzi basi tafuta nyama za kujenga hoja yako otherwise tunachukulia kama UDAKU.
 
Back
Top Bottom