Makamanda mbona hatuulizii nyumba ya Tsh milioni 60 walionunua viongozi wetu Serengeti?

Jibu unalo.

Sina Jibu Mkuu ,wewe ndio umetoa taarifa ,ungekuja na taarifa konki zaidi ,kwani serengeti hauwezi kujenga nyumba ya milioni 50 au 60? Umeiona nyumba yenyewe? Thamani yake halisi ikoje? Nenda Kilimanjaro kijijini au Kagera ukaone mijengo ya milioni 500 kwenye migomba.
 
Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.

Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?

Tuwe tunahoji bila uoga
Tuanze kwanza na Nyumba za serikali zilizouzwa bila kufuata matakwa ya wanainchi wazalendo wa Tanzania
 
Sina Jibu Mkuu ,wewe ndio umetoa taarifa ,ungekuja na taarifa konki zaidi ,kwani serengeti hauwezi kujenga nyumba ya milioni 50 au 60? Umeiona nyumba yenyewe? Thamani yake halisi ikoje? Nenda Kilimanjaro kijijini au Kagera ukaone mijengo ya milioni 500 kwenye migomba.
Kamanda kama we unaijua hiyo nyumba tupe majibu.
 
Siijui ila kama chadema wenyewe wamesema wamenunua na wewe unabisha basi wewe ndio ungekuja na taarifa kamili kwamba hawakununua na ukaweka ushahidi kwamba hawakununua.

Ukija tu plain unaonekana unaleta UDAKU tu.
 
Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.

Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?

Tuwe tunahoji bila uoga
Kuchangia uzi huu inakua ngum, kwa wengine tunaopenda claims ikiambatana na official documents na picha za nyumba husika nyumba husika Ili tujue pa kuanzia. Ahsnt
 
Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.

Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?

Tuwe tunahoji bila uoga
Magufuli aliuza nyumba za umma kwa mahawala zake kina KABULA yule wa pale Kebys pale bamaga? Alikuwa akimfuata hostel mabibo.
Corona imelifyeeka
 
Back
Top Bottom