Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kamandu upo hapa Tanzania?Tumbaku za asubuhi si nzuri kabla hujala
Peleka Bangi zako LumumbaHuu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.
Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?
Tuwe tunahoji bila uoga
Tuheshimiane kamanda.Jiandae uwende kwenye mkutano leo mnamchagua mwenyekiti wenu acha umbeya asubuhi asubuhi.
Kwani CAG Kichere amesemaJe ?!. Nyumba moja ya Cdm inakutoa imani . Ufujaji unaofanyika kwenu huko umewahi kuhoji ?!Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.
Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha?
Tuwe tunahoji bila uoga
Nasikia bashiru mmemtosa.Tuheshimiane kamanda.
Kamanda naomba ujiheshimu. Kwetu wapi? Viongozi wetu wanakula pesa lazima tuhoji.Kwani CAG Kichere amesemaJe ?!. Nyumba moja ya Cdm inakutoa imani . Ufujaji unaofanyika kwenu huko umewahi kuhoji ?!
Tatizo kubwa kwa makamanda wenzangu.Nyumbu hawana uwezo wa kuhoji
Kuhoji viongozi mafisadiUtunzi wako, unatufundisha nini?
Leo zamu yako ya ulinzi chato .Kamanda naomba ujiheshimu. Kwetu wapi? Viongozi wetu wanakula pesa lazima tuhoji.
Hizi pumba sasa.Leo zamu yako ya ulinzi chato .