Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Makamanda Peoples!!!!!
Wale wote wanaochukizwa na Ufisadi ndani ya CHADEMA msife moyo sasa agenda yetu itaingia kinguvu siku ya Baraza Kuu la Chama kwa sasa tutulie hiyo 334Milion itimie tukisha safiri kwa umojq wetu tutapenyeza agenda ya ufisadi wa makamo mwenyekiti wetu.
Baraza Kuu la Umma hili ndiyo litamng’oa Heche Madarakani kwani hizi tuhuma hajazikubali wala kuzikanusha sehemu yoyote kwa kifupi makamanda makamu mwenyekiti ametudharau kwa kiasi kikubwa sasa nasemaje hiyo September tunamwaga mboga.
Kwa sasa naomba tuwe watulivu hadi watutumie nauli zetu za kuja Dar.