Makamanda msiwe na wasisi Tunaenda kumwaga mboga siku ya Baraza kuu la. Chama September 15

Yamekushinda ya CCM ambayo ufisadi upo wazi kabisa, unaanza kuleta utumbo wako hapa.
Mafisadi wa nchi hii ni wanachama wa chama gani?.
Mtapigwa pipe kama ile January 21 bado hamkubali matokeo kwakua ulaji umekatwa mlikua mnatumia chama kujinufaisha na siasa zaudalali matako yenu by Sugu
 
Tupambane kuliondoa dude hili CCM vinginevyo tunaangamia mkuu usipumbazwe na vi shilingi shilingi wanavyokupa wao wanabunya kweli KILA mladi wa serikali Wana ten pacent wewe wanakutumia Kama condom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…