Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA.
Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo wanaompenda,hili jambo likapunguza nguvu kwa vipenzi vya Magufuli na kuona ajenda ni kumpaka matope Magufuli DP World ni kivuli tu pro Magu wakapiga nutral.
Ikaja speed mpya kali ya kuhusisha udini na swala la DP World kwa maneno makali yasiyo na staha kiasi cha maulamaa kuona kumbe hoja sio bandari bali ni dini ya Rais?,maulamaa wakapiga stop wakagoma kwenda Mwembe yanga.
Likaja swala la utanganyika na uzanzibari nalo watu awakulipokea kwasababu ya kauli mbovu na chafu linagawa utaifa wetu.
Lisu mjanja akaona apige turn kwenda kwenye kaburi la Magufuli pamoja na maneno mazuri ya kumpamba Magufuli wana Chato wakagoma asikanyage kwenye kaburi la Mwamba.
maamuzi yakawa kwenda mahakamani nako hola,sasa ni maandamano na kusisusia kulipa kodi.
Sasa makamanda Sugu msitumie tena nguvu mtafeli jipangeni vizuri kwasababu zipo hoja za msingi kwenye swala la bandari.
wapo watu wabaya mnawaona wako pamoja na nyinyi kumbe hapana wapo kwaajili ya kukwamisha hili jambo kwa makusudi kwa kutoa kauli na taharuki za wazi ili kuwagawa watu na kuwa kwaza wenye mamlaka ili kukwamisha hoja za msingi kama ukomo wa mkataba wa bandari,muda n,k.
Mafano: Kwa makusudi kabisa ilizushwa DP World watakuja kujenga misikiti(wakati sio kweli)na makamanda wakaibeba hii hoja na kwenda nayo mitandaoni, sasa ulamaa atawezaje kumpinga mtu anaekuja kumpa misaada ya dini badala yake atahitaji aje tena haraka.
👆
aliyezusha hili ni pandikizi aliyetumwa kupenyeza kanuni ya divide and rule kwa hoja ya udini.na kweli amefanikwa maulamaa waligoma kwenda mwembe yanga.
Makamanda sugu acheni kwenda kwenda tu chujeni mambo watu na kauli zao ,watu wengine sio.
Slaa na Tibaijuka wanaonekana wazalendo hii ni kuupaka matope harakati za mkataba wa bandari.Mbowe,Warioba,Butiku,Kitine n,k hawajaonekana kutosha mpaka mpalamie watu wa hovyo na kuwaona mashujaa?
Nini kifanyike sasa makamanda sugu:
Kwanza shusheni silaha chini,tokeni mahakamani hamtoshinda,acheni kauli zisizo na staha punguzeni mijadala kwenye mitandao itakayo pelekea watu wabaya kumtusi au kumkashifu Rais na kuzidi kuweka ugumu wa mambo.
Anaepost mada ya kuligawa taifa au kumkashifu Rais msihisi ni mwenzenu hapana hao ndio watu wabaya kwenu wanawakwamisha bila nyinyi kujua.
Viongozi wa upinzani wanaweza kuomba nafasi ya kumuona Rais kwaajili ya mazungumzo,mama ni msikivu hawezi kukataa kamwe.kutumia nguvu ya umma au maneno makali aitofanikiwa kwasababu haiba ya watanzania kwenye mambo ya kitaifa si kutumia nguvu bali ni kukutana na kuzungumza na mambo yanakaa sawa bila labsha yoyote ile.
Uzi tayari.