Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
- Thread starter
- #21
Wewe huna akili.Akili huna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna akili.Akili huna
ninayoyajua ni machache kumbe huko space kuna makubwa mpaka ya kufikiria kupindua serikali?,duh,,!Wala sio kwamba ni mamluki wanapaka tope, Ni CHADEMA wenyewe, hawana staha wala hawana principle zozote
Mfano hili suala la kuanza kumshambulia Samia kuwa ni Mzanzibari na hafai kuongoza Tz alilianzisha Mbowe, na Tundu Lissu
Kule Twitter pia kuna vijana wengi wa Chadema, ambao tena ni viongozi wanaandika upumbavu usio na staha hata kidogo
Vijana wa Chadema leo hii wanaandika jeshi lipindue serikali kama nchi za Mali na Niger huko wakidai jeshi ndio wataongoza kwa uzalendo
Watu hawahawa ndio waliokuwa wakilia kwa sauti kubwa Magufuli alivyokua akitumia jeshi kwenye korosho, na Bureau De Change, ndio waliokuwa wakilia serikali ilivyokuwa ikivunja katiba, leo hii wanatamani tutawaliwe kijeshi
Hili ni kundi la wahuni, sio chama, wataungwa mkono na hao vijana wasiojielewa lakini kamwe hawataheshimika na watu wa maana kama ilivyokuwa mwaka 2015 kurudi nyuma
acha kubwabwaja na huu utopolo wako hakuna cha kugawa watu wala nini, umezoea mauzushi ya kipuuzi tunawajua. Watanzania ni wamoja issue ya bandari imeshaisha kinasubiriwa utekelezaji. Kazi iendeleeMakamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA.
Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo wanaompenda,hili jambo likapunguza nguvu kwa vipenzi vya Magufuli na kuona ajenda ni kumpaka matope Magufuli DP World ni kivuli tu pro Magu wakapiga nutral.
Ikaja speed mpya kali ya kuhusisha udini na swala la DP World kwa maneno makali yasiyo na staha kiasi cha maulamaa kuona kumbe hoja sio bandari bali ni dini ya Rais?,maulamaa wakapiga stop wakagoma kwenda Mwembe yanga.
Likaja swala la utanganyika na uzanzibari nalo watu awakulipokea kwasababu ya kauli mbovu na chafu linagawa utaifa wetu.
Lisu mjanja akaona apige turn kwenda kwenye kaburi la Magufuli pamoja na maneno mazuri ya kumpamba Magufuli wana Chato wakagoma asikanyage kwenye kaburi la Mwamba.
maamuzi yakawa kwenda mahakamani nako hola,sasa ni maandamano na kusisusia kulipa kodi.
Sasa makamanda Sugu msitumie tena nguvu mtafeli jipangeni vizuri kwasababu zipo hoja za msingi kwenye swala la bandari.
wapo watu wabaya mnawaona wako pamoja na nyinyi kumbe hapana wapo kwaajili ya kukwamisha hili jambo kwa makusudi kwa kutoa kauli na taharuki za wazi ili kuwagawa watu na kuwa kwaza wenye mamlaka ili kukwamisha hoja za msingi kama ukomo wa mkataba wa bandari,muda n,k.
Mafano: Kwa makusudi kabisa ilizushwa DP World watakuja kujenga misikiti(wakati sio kweli)na makamanda wakaibeba hii hoja na kwenda nayo mitandaoni, sasa ulamaa atawezaje kumpinga mtu anaekuja kumpa misaada ya dini badala yake atahitaji aje tena haraka.
👆
aliyezusha hili ni pandikizi aliyetumwa kupenyeza kanuni ya divide and rule kwa hoja ya udini.na kweli amefanikwa maulamaa waligoma kwenda mwembe yanga.
Makamanda sugu acheni kwenda kwenda tu chujeni mambo watu na kauli zao ,watu wengine sio.
Slaa na Tibaijuka wanaonekana wazalendo hii ni kuupaka matope harakati za mkataba wa bandari.Mbowe,Warioba,Butiku,Kitine n,k hawajaonekana kutosha mpaka mpalamie watu wa hovyo na kuwaona mashujaa?
Nini kifanyike sasa makamanda sugu:
Kwanza shusheni silaha chini,tokeni mahakamani hamtoshinda,acheni kauli zisizo na staha punguzeni mijadala kwenye mitandao itakayo pelekea watu wabaya kumtusi au kumkashifu Rais na kuzidi kuweka ugumu wa mambo.
Anaepost mada ya kuligawa taifa au kumkashifu Rais msihisi ni mwenzenu hapana hao ndio watu wabaya kwenu wanawakwamisha bila nyinyi kujua.
Viongozi wa upinzani wanaweza kuomba nafasi ya kumuona Rais kwaajili ya mazungumzo,mama ni msikivu hawezi kukataa kamwe.kutumia nguvu ya umma au maneno makali aitofanikiwa kwasababu haiba ya watanzania kwenye mambo ya kitaifa si kutumia nguvu bali ni kukutana na kuzungumza na mambo yanakaa sawa bila labsha yoyote ile.
Uzi tayari.
rais hana muda wa kijinga km huo, azungumze na nani. Rais hana share na mtu yoyote ktk serikali yake. Bunge limesharidhia mkataba kwa niaba ya wananchi, na juzi mahakama kuu kanda ya Mbeya imesafisha uvumi mkataba ni safi na kazi iendelee. Hakuna kazi kazi ya kufanya nyie mapoyoyo? Jambo limeshapita bado mnatafuta nini. Tafuteni kazi nyingine ya kufanya hiyo imeshapitaKwenye mkataba wa bandari zipo hoja ila waliolibeba wamekosa hakima na busara,kama kwenye maridhiano Mbowe aliomba kukutana Rais wazungumze tangia utawala wa Magu.hatimae mama akawa Rais akawaita wakazungumza na mambo yakanyooka vizuri hili la bandari imeshindikana nini kuomba kumuona Rais wazungumze?
Haya kamanda sugu,jasiri mpamabanaji wa ukweli mitandaoni.acha kubwabwaja na huu utopolo wako hakuna cha kugawa watu wala nini, umezoea mauzushi ya kipuuzi tunawajua. Watanzania ni wamoja issue ya bandari imeshaisha kinasubiriwa utekelezaji. Kazi iendelee
Sio mchezo wewe unahasira unaweza hata kumeza chupa kwa hasira.duh,,!rais hana muda wa kijinga km huo, azungumze na nani. Rais hana share na mtu yoyote ktk serikali yake. Bunge limesharidhia mkataba kwa niaba ya wananchi, na juzi mahakama kuu kanda ya Mbeya imesafisha uvumi mkataba ni safi na kazi iendelee. Hakuna kazi kazi ya kufanya nyie mapoyoyo? Jambo limeshapita bado mnatafuta nini. Tafuteni kazi nyingine ya kufanya hiyo imeshapita
Hata sjui alitoka wapi bana, na huenda hata kujumuishwa kule ni mpango piaMara nyingine utasema Slaa huwa anatumwa ili avuruge mambo
Sasa wangekatazaje watu kuongea aseeSure,waliruhusu kila mtu kuwa msemaji chini ya kivuli cha chama,Tec walishatoa maoni yao kuhusu mkataba kulikuwa na ulazima gani kuwavuta kuja kuzingumza ktk mikutano ya chadema??mwabukusi alitoka kama mtu huru au mwanasheria tukashangaa ghafla anajiassociate na chadema akasimama na katika mikutano ya chadema,watu wakawa wanaropoka kihisia na kuingiza hoja za kidini,kikanda chino ya mwavuli wa chadema,hata waliokuwa ccm wanapinga mkataba wakarudi nyuma maana ikawa mtego chadema wanateka kila mtu anayeonesha anamsimamo unaofanana na wao,sasa wanataka kuliingiza na jeshi na mazuala ya mapinduzi,chama hakina muelekeo tena,mjadala huru umemezwa kihisia ndo maana watu kama kina zzk wamejiweka pembeni waache chadema wajibu issue za udini na ukanda!!
Huenda ni mzee wa kitengo katumwa aje avuruge mijadalaHata sjui alitoka wapi bana, na huenda hata kujumuishwa kule ni mpango pia
Na ndio maana Wazanzibari wanasema kuhusu bandari watanganyika watajuana wenyewe wapambane na hali yaoWala sio kwamba ni mamluki wanapaka tope, Ni CHADEMA wenyewe, hawana staha wala hawana principle zozote
Mfano hili suala la kuanza kumshambulia Samia kuwa ni Mzanzibari na hafai kuongoza Tz alilianzisha Mbowe, na Tundu Lissu
Kule Twitter pia kuna vijana wengi wa Chadema, ambao tena ni viongozi wanaandika upumbavu usio na staha hata kidogo
Vijana wa Chadema leo hii wanaandika jeshi lipindue serikali kama nchi za Mali na Niger huko wakidai jeshi ndio wataongoza kwa uzalendo
Watu hawahawa ndio waliokuwa wakilia kwa sauti kubwa Magufuli alivyokua akitumia jeshi kwenye korosho, na Bureau De Change, ndio waliokuwa wakilia serikali ilivyokuwa ikivunja katiba, leo hii wanatamani tutawaliwe kijeshi
Hili ni kundi la wahuni, sio chama, wataungwa mkono na hao vijana wasiojielewa lakini kamwe hawataheshimika na watu wa maana kama ilivyokuwa mwaka 2015 kurudi nyuma