Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

ninayoyajua ni machache kumbe huko space kuna makubwa mpaka ya kufikiria kupindua serikali?,duh,,!
 
acha kubwabwaja na huu utopolo wako hakuna cha kugawa watu wala nini, umezoea mauzushi ya kipuuzi tunawajua. Watanzania ni wamoja issue ya bandari imeshaisha kinasubiriwa utekelezaji. Kazi iendelee
 
rais hana muda wa kijinga km huo, azungumze na nani. Rais hana share na mtu yoyote ktk serikali yake. Bunge limesharidhia mkataba kwa niaba ya wananchi, na juzi mahakama kuu kanda ya Mbeya imesafisha uvumi mkataba ni safi na kazi iendelee. Hakuna kazi kazi ya kufanya nyie mapoyoyo? Jambo limeshapita bado mnatafuta nini. Tafuteni kazi nyingine ya kufanya hiyo imeshapita
 
acha kubwabwaja na huu utopolo wako hakuna cha kugawa watu wala nini, umezoea mauzushi ya kipuuzi tunawajua. Watanzania ni wamoja issue ya bandari imeshaisha kinasubiriwa utekelezaji. Kazi iendelee
Haya kamanda sugu,jasiri mpamabanaji wa ukweli mitandaoni.
 
Sio mchezo wewe unahasira unaweza hata kumeza chupa kwa hasira.duh,,!
 
Sasa wangekatazaje watu kuongea asee
 
Na ndio maana Wazanzibari wanasema kuhusu bandari watanganyika watajuana wenyewe wapambane na hali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…