Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Subirini matunda mle. Kwani lini yakipatikana huwa hamtokei kudai kumwuunga mkono Mama Kwa mnachoitaga kuwa ni ridhaa yake?

View attachment 2559517
Ndugu yangu, kama kweli hayo mateso anayodai Lema, anayodai Mbowe kuwa ni mateso yanayotakikana kupata ufumbuzi wa Haki, Katiba mpya na Kadhalika....kwa nini wasingebaki huko? Sasa mnataka watoto wa wenzenu ndio wawakingie vifua!
 
Odinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza 😅😅
adonga ametishwa na nan kuwa atauwawa, kapigwa risas ngapi au mnabwabwaja kama mmewekewa dudu mahala sukuma gang jiandaeni kufutwa mtake msitake.
 
Inanikumbusha maandamano ya Ukuta, Polisi walipofanya tu mazoezi ya farasi na mbwa Mbowe akatimkia Moshi na kujifungia bandani.

Hata Ruto alidhani itakuwa mchekea. Hakuna anayekataa wa kuumia watakuwapo labda na hata kufa:

Your browser is not able to display this video.


Ila tutafika tu.
 
Kama hicho ndio msimamo wa sukuma gang endeleen kupigika na maisha au andamaneni na mamazenu.
 
kama mnamaisha magumu andamaneni na mamazenu kama ambavyo mlimwambia lissu aandamane na watoto wake.
Halafu sijamtaja mtu eti zaidi ya neno 'Makamanda'! Ila wewe umemtaja mpaka Lissu!! Mama zetu, watoto wake!! Shida iko wapi?

Halafu mimi najitegemea mwenyewe. Sina utaratibu wa kumtegemea mtu katika maisha yangu.
 
Terrible, polisi wamekimbia!
 
Watanzania tunajielewa. Tunajua nani ana tutetea na nani ni mpigaji. Mtu alipiwe madeni yake arudi kutukana bodaboda alafu ajifanye mkombozi tumuelewe labda sio wabongo
Hakuna shetani anaekosa wafuasi. Kwahiyo huyo jamaa anaetukana bodaboda ana wajinga wake kina Dawa ya Uvccm wanamkubali na kumsikiliza sana hata akiwaomba kijambio watampa tu.
 
Halafu sijamtaja mtu eti zaidi ya neno 'Makamanda'! Ila wewe umemtaja mpaka Lissu!! Mama zetu, watoto wake!! Shida iko wapi?

Halafu mimi najitegemea mwenyewe. Sina utaratibu wa kumtegemea mtu katika maisha yangu.
Pambaneni na maisha yenu hakuna kamanda atakayepigania wapumbavu wasiojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…