SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mbona hamueleweki.Kama hicho ndio msimamo wa sukuma gang endeleen kupigika na maisha au andamaneni na mamazenu.
Hata mie nimeshangaa,ama na wao wana jeshi la akiba a.k.a MgamboTerrible, polisi wamekimbia!
seems haya maandamano yamefanikiwa sanaHata Odinga hakukaa mbele. Odinga kaja baadaye kutokea kusikojulikana. Hili ni funzo muhimu sana. Amekuja kuhutubia na kuweka msimamo:
View attachment 2559521
Sawa Kamanda. Ipo siku tu na sisi tutalamba asali.Pambaneni na maisha yenu hakuna kamanda atakayepigania wapumbavu wasiojitambua.
Akili yako ya hovyo sana .Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.
R.I.P Akwilina
Tanzania imejaa wapumbavu wengi ambao huambiwa na wapuuz kuwa bodaboda ni kaz nzuri na wao kuamin huku watoto wa hao wanaowambia hawajawahi hata kuendesha pikipiki na lema kasema watoto wao waendeshe bodaboda ndio ataamin kuwa ni kaz nzuri badala yake wajinga wanasema lema kawatukana kisa wamejazwa ujinga kichwaniHakuna shetani anaekosa wafuasi. Kwahiyo huyo jamaa anaetukana bodaboda ana wajinga wake kina Dawa ya Uvccm wanamkubali na kumsikiliza sana hata akiwaomba kijambio watampa tu.
Ni katika msing huo huo usilalamikie chama chochote cha siasa kuwa hakikupambanii.Mimi kwenye kuandamana nitoeni siwezi kutumika kumpambania Mr big belly yoyote nitaandamana kama nyumba yangu itavunjwa
Hao siyo makamanda wetu. Hao labda wenu katika lile kundi la vijana wa hovyo. Angalia wenye kukuunga mkono kwenye bandiko hilo.Makamanda wetu sisi ni wachumia tumbo tu, halafu wana njaakalihatari. Wakilambishwa kidogo tu asali, wanasahau maumivu yote waliyopitia.
Wewe mbona unatumikishwa hapa JF na wanasiasa uchwara. Huku wanaokutumikisha watoto wao wakiwa Marekani wanasoma na kula bata bila kuingia humu kuwatetea wazazi wao?Tanzania imejaa wapumbavu wengi ambao huambiwa na wapuuz kuwa bodaboda ni kaz nzuri na wao kuamin huku watoto wa hao wanaowambia hawajawahi hata kuendesha pikipiki na lema kasema watoto wao waendeshe bodaboda ndio ataamin kuwa ni kaz nzuri badala yake wajinga wanasema lema kawatukana kisa wamejazwa ujinga kichwani
NB, Watoto wa kitila Mkumbo na Madelu wanafanya kaz BOT na TPDC.
Sahihi na ndo nipo ivo kwangu wanasiasa wote kwangu ni wale waleNi katika msing huo huo usilalamikie chama chochote cha siasa kuwa hakikupambanii.
Hao hao mnaowapigia magotiPambaneni na maisha yenu hakuna kamanda atakayepigania wapumbavu wasiojitambua.
Hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu kama mnamaisha magumu yaendelee kuwagonga tu si mliipenda wenyewe.Sawa Kamanda. Ipo siku tu na sisi tutalamba asali.
Kila saa narudia kuiangalia hii clip maafande wakigawana njia ili kujiokoa...๐๐๐๐ ๐jamaa wakaona isiwe taabu wakaamua tu wakimbie,dah!
Ni bora wizara tatu nne lakin hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu ambao wakiambiwa kuandamana wanasema lissu atangilie na watoto wake, huko kenya mmeona mtoto hata mmoja wa Raila kwenye hayo maandamano? so nasema hivi hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu mpaka mtakapojitambua ndio makamanda watawapambania.Hao hao mnaowapigia magoti
Hao hao mnao watukana
hao hao mnao wachonganisha na Serikali yao?
Ati wakati 'sisi hapa tunasota' oh nimeenda polisi sana
Ati "hamkutokea" wakati tunasota magerezani
Halafu, kwa madai yenu wenyewe mnasema
Hakuna kamanda atakaye tokea kuwapambania?
Kwa nini tusiwaamini na hayo?
Kwamba hatujielewi na hivyo basi Makamanda wanajielewa....
Tunavyosema mnajali matumbo yenu, mnaumuka.
Asante kwa kudhihirisha yale Wananchi wanayo ogopa, nayo ni kuwapa Dola CHADEMA.
Msubiri CCM wawapatie mgao wa wabunge maalum, wizara tatu nne hivi, mnyamaze
Kupitia haya maelezo yako, kama kuna Kamanda yeyote yule aliyekwisha tayari kulamba asali, halafu anataka kurudi zake "uhamishoni", ni bora akarudi tu.hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu kama mnamaisha magumu yaendelee kuwagonga tu si mliipenda wenyewe.
hii video bana,,kuna afande mmoja katupa ile ngao kaona inampa uzito kwenye miguu kufunguka๐Kila saa narudia kuiangalia hii clip maafande wakigawana njia ili kujiokoa...๐๐๐
Akirudi nyumbani hoi! Usongo bwelele. Anamwambia mme wake au sijui mke wake kuwa ana ajira....bora kuliko ya kufukuza upepoWewe mbona unatumikishwa hapa JF na wanasiasa uchwara. Huku wanaokutumikisha watoto wao wakiwa Marekani wanasoma na kula bata bila kuingia humu kuwatetea wazazi wao?
Je unapata faida gani kutetea wazazi wa wenzako?
Inakuaje wazazi wako wazae afu wengine wakutumie?