Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Sasa kwakuwa Odinga kaandamana na wewe unataka kuandamana? Wakiandamana Wasomali na wewe unataka kuandamana? Wakiandamana kina Malema na wewe uandamane? Wakiandamana Senegal kupinga Mhe. Rais Macky Sall asiongeze mhula nje ya katiba na wewe uandamane? Hoja yako ni nini hasa? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwa sababu tunapishana Lugha.
Huwezi gugu hayo ninayo bandika. Hakuna majibu kule.

Hata hivyo siko darasani hapa kukupa wewe mtiririko unaoutaka.
Pita huko, uache kuparamia kila nacho bandika. Utanielewa tu.

Narudia tena, una tatizo kubwa la uandishi, jitahidi kufanyia kazi eneo hilo. Ukifanikiwa hilo uje uendelee na mijadala humu. Ni ushauri wa bure.
 
Narudia tena, una tatizo kubwa la uandishi, jitahidi kufanyia kazi eneo hilo. Ukifanikiwa hilo uje uendelee na mijadala humu. Ni ushauri wa bure.
Utalegea tuu ....si hitaji ushauri kutoka kwa mjinga kama wewe.

Una kaswende ya kuparamia wanaume humu.

Kajinyonge kama hutaki
 

Umesoma mada? Wakiandamana tuna ya kujifunza:



Juu polisi wanasepa hilo nyomi si la kawaida:

Your browser is not able to display this video.


Yameorodheshwa pale. Kama vipi ongeza na ya kwako.
 
Chuma alikuwa anaongea mara moja tu. Waganga njaa wa Chadema wanatii bila shurti ni kauli moja tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukombozi sio lele mama unataka asali alafu unaigiza mwana harakati.
chuma mavi anayeoza chato wajane mmebaki kujifariji ujinga na ikifika 2025 tunawafuta kabisa hata udiwan wa kupita bila kupingwa mtabaki kuuota.
 
Ndio maana nasema kama mmepigika andamaneni na mamazenu lissu hana muda wa kuwambia muandamane.
 
Pole mkuu, umejifunza kwa njia ngumu sana. Sisi wengine tuna macho ya rohoni utuingizi chaka kijinga.
 
Kwani siku Akwilina anauawa Mbowe hakua front ya maandamano?

Acheni kuongea upuuzi
 
Mtoto wa Mbowe anaitwa Dudley. Yeye utazama maandamano kupitia YouTube channel akiwa Dubai. Kisha anatoa inputs nini kiboreshwe na baba yake wakati huo hana hata fungu la panadol.
 
Raila ni mroho wa madaraka. Pamoja na kwamba nawaunga mkono Wapinzani lakini hawataki WI kufanya the Raila way. Raila kapoteza uchaguzi, akaenda mahakamani akapoteza. Sasa seven months after ndiyo anamobilize watu kwa gia ya maisha magumu... This is not right.
 
The difference.

Risasi za moto (live bullets) zilipigwa kwenye hayo maandamano kama ilivyokuwa kwa Akwilina na Sheikh Ponda na assassination attempt ya Lissu? Kama hatuoni ujasiri kwenye hayo yanayotokea kwetu basi ujinga, unafiki na roho mbaya ndiyo jadi ya wengi wetu.

Nchi ina mazingira ya kisiasa ya ovyo sana, halafu wengi tunasherehekea tu na kuwakebehi wanaojitahidi kupambana kuyarekebisha. Eti watangulize familia na watoto wao wavunjwe miguu! Halafu tunalalamikia utawala mbaya na kuwashambulia wapinzani badala ya watawala kwa hali hiyo. Pathetic!
 
Achana na chawa hilo mkuuu lifirwe tu

Kwetu wengine huu ni ushujaa:



Kwetu upuuzi ni huu mnaoleta vijana hovyo:

"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana wa hovyo msiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili."

Ila kutokea kwa kina Raila tunayo bwerere ya kujifunza.

Ninyi hata mkikaa kwa kutulia mkasubiri matunda, hamtupi pressure wala nini.

Wa aina yenu hata kipindi Nyerere anadai uhuru mlikuwapo wengi tu.

Bure kabsa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…