Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Mkuu nilichojifunza na yanayojiri Kenya....ni kuwa Serikali hazichezewi.
"Makamanda" na hapa naweza kusema ni watia vifua mbele wa CHADEMA, wana mengi ya kujifunza.....Braza J amegusia eneo moja linalo kinzana na yale mnayohubiri hapa kila siku.....mnaita maovu. Kifo cha Akwilina. R.I.P.

Hivi karibuni jumbe zenu zimejikita katika kuwafarakanyisha na kuwachonganisha wapiga kura(mnaotegemea)na Serikali.
Mmewaita masikini na wana laana, ili kuwatia hasira....hizo sio sera bali ni uharakati. Leo mnachutama mnawaita makamanda? mnaomba waingie barabarani kama inavyotokea Kenya? Kwa sababu zipi za msingi?
Manake kila kukicha mnadai SSH kageuza kila kitu, kuanzia haki, uchumi, siasa safi n.k .n.k na hakuna hata Kiongozi mmoja wa Chadema anazungumzia "Njaa" za mtaani, why?

Sasa, ni sababu zipi za msingi zitakazo wapeleka kuingia barabarani? kama sio kutaka kuchezea dhima ya Dola?

To be honest napata shida sana kuelewa unaandika nini, una tatizo kubwa la kiuandishi. Huna mtiririko mzuri wa uandishi kiasi kwamba inakuwa ngumu kuelewaka nini hasa hoja yako. Sina hakika kama ww ni mtanzania, au una asili ya Tanzania.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani dada yetu amekuwa useless kabisa. Ndio maana kwa aibu anabadilisha IDs kila siku.

Mara ajiite Mmawia, mara Dawa ya kijambio chake nk.
Ulivyo punguani unachekelea. Hivi madreva boda boda huwa mkoje?
 
Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.

R.I.P Akwilina
Hawa makamanda uchwara wamejichimbia uvunguni huku wanajifanya majasiri. Hilo tatizo wanalo tangu zamani sana.
 
To be honest napata shida sana kuelewa unaandika nini, una tatizo kubwa la kiuandishi. Huna mtiririko mzuri wa uandishi kiasi kwamba inakuwa ngumu kuelewaka nini hasa hoja yako. Sina hakika kama ww ni mtanzania, au una asili ya Tanzania.
Kwa sababu tunapishana Lugha.
Huwezi gugu hayo ninayo bandika. Hakuna majibu kule.

Hata hivyo siko darasani hapa kukupa wewe mtiririko unaoutaka.
Pita huko, uache kuparamia kila nacho bandika. Utanielewa tu.
 
Nakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima 😊😊
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu 😅😅🔥🔥🔥
Kwani Raila Odinga yeye alikuwa mstari wa mbele?
 
Mnakuja wapi.. mimi mtoto wa Odinga nipo zangu nje nafuatilia maandamano yenu kupitia kwenye TV.
Maandamano yoyote huwa hayatuhusu sisi maana tunapata kila tunachohitaji. Andamaneni nyie kina kajamba nani.

Ukweli mchungu hatuwahitaji:

 
Odinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza 😅😅
Zote ni njia za kufikia lengo. Hao wapigania uhuru wa South Africa wenyewe walikimbilia Mazimbu,Morogoro. Eduardo Mondlane mwenyewe aliishi Dar akimkwepa Mreno na bado anaheshimika sana Msumbiji. Na haukusoma kuna wakati Yesu na wazazi wake nao walienda exile Misri wakimkwepa Herode?
 
Back
Top Bottom