Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.

Kivipi?. Mbowe mwenyewe kakiri kwamba yeye sio CHADEMA , hivyo yeye hawezi kuzuia kudaiwa kwa katiba mpya.
 
Mbowe hawezi kudai tena katiba mpya, akijaribuvkesi yake inafufuliwa upya, kumbuka hajashinda kesi, bali imewekwa pending.
 
Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.

Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.

Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…