Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.

Yes coz amejua hata afanye nn katiba mpya haiwez kuja Kwa wakati huu

Sasa ulitaka afanye nn?

Ww unataka apambane na katiba mpya then anakaa jela wakati ww umekaa Tu home na familia yako
 
Hakuna upinzani Tanzania!

Supporting opposition politicians in Tanzania is a wild goose chase!

An exercise in futility!

There is firm opposition in Tanzania. The problem is the existence of unfair political competition and the rulling party using state apparatus at it's advantage against the opposition parties.
 
Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.

Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.

Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Alikushika masikio...je haku kukopa?
 
Amekua compromised

Compromised when?. Kukutana na Rais ndio kuwa compromised?. Mnachotaka ni Nini? Juzi mlikuwa mnamuita gaidi, Leo mnalalamika yupo compromised. Mnataka Mbowe aanzishe kikundi Cha waasi ndio mfurahi. Mh. Mbowe alikuwa tayari kujitetea kwenye kesi yake kabla serikali haijaifuta kupitia DPP.

Ninamsifu Mh Mbowe kwa kuushinda wema kwa ubaya. Sometimes use the traps of their enemies to finish.

Ni Kama Maalim Seif pamoja na manyanyaso yote aliyopata, lakini alijishusha. Siku ya msiba wake wote CCM na Upinzani walimzika na kumsema vizuri. Amelala kwa amani. Hakuna anayemsema vibaya leo. Kuna maisha baada ya kifo.
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Kwani Katiba Mpya ni kwa manufaa ya Mbowe??
Nchi ya watu zaidi ya 60M bado tu mmejikita kumtegemea mtu mmoja??
Okay, tuseme amakaa akatafakari akaamua kuacha siasa... ina maana mtamlaumu kwa kutokuwapa Katiba Mpya??
 
Mbowe alishaelekea kibra siku kadhaa kabla hajatoka jela!

Hii ya kumsifia sifia Samia na kumshukuru kwa kuonesha utu kwenye kesi yake wakati yeye ndio aliemfunga ilitqkiwa iwazindue machadema. Lakini watazindukaje? Akili hiyo wanayo?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wewe pambana na hali yako hapo mbogamboga, yawenzio waachie, kesi mchongo imedunda. Unda nyingine.
 
Mbowe hawezi kudai tena katiba mpya, akijaribuvkesi yake inafufuliwa upya, kumbuka hajashinda kesi, bali imewekwa pending.

Unawekaje kesi pending. Kesi ikishafutwa hairudiwi Bali inaanza upya. Halafu unafutaje kesi wakati mtuhumiwa anaenda kujitetea?. Tofautisha adjournment na Nolle Presequi
 
Kivipi?. Mbowe mwenyewe kakiri kwamba yeye sio CHADEMA , hivyo yeye hawezi kuzuia kudaiwa kwa katiba mpya.
Sawa yeye hawezi kuzuia kudaiwa kwa katiba mpya lakini yeye hatohusika na kudai huko.

Kalagabaho!
 
Back
Top Bottom