Kwa hiyo wanaosema Mbowe anajipendekeza kwa Samia ni waongo? Manake kwa unachosema, Mbowe tayari yuko upande wa serikali.
Anyway, kwa Mbowe mengi yanasemwa na wanaCCM na mahasimu wake: Mbowe ni mchaga; anapenda pesa; hawezi kugomea ruzuku, ni mlevi wa Konyagi, ana mchepuko special, ananyanyasa kijinsia viti maalum, anakula ruzuku ya chama, anakula pasenti mishahara ya wabunge, anakilangua chama, ni gaidi, ni kibaraka wa mabeberu, muuza ngada, ni mhaini, ni system, Memba wa deep state, ni TISS, yuko upinzani kwa kazi maalum, n.k., n.k. !?
Well, your choice madam: kipi hasa unapenda kuamini kuhusu Mbowe?