Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Hakuna upinzani Tanzania!

Supporting opposition politicians in Tanzania is a wild goose chase!

An exercise in futility!
Unaongea upuuzi tuu, na kama sio uharamia wa CCM na polisi wao, wizi wa kura, kupiga risasi , kubambikia kesi, kuzuia mikutano ya wapinzani etc leo hii mngeshafutika
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Wewe binafsi kama unaona kuna umuhimu wa katiba mpya umefanya jitihada gani kwenye hilo?.maana katiba mpya sio hitaji la mbowe mwenyewe.sasa unapokaa nyumbani kwako raha mstarehe alafu unataka mtu mwingine akufanyie uku ukitoa lawama huo utakua sio uzalendo.mbowe halazimishwi na mtu yoyote kupush agenda ya katiba mpya kwahiyo ata akiamua kuacha hiyo agenda hakuna kosa atakalokua kalifanya.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.

Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.

Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Unaji contradict mwenyewe.

Unasema Mbowe yuko kama kivuli upinzani.

Hapo hapo alikuwa halali jela. Lakini hapo hapo unashangaa karudi uraiani.

Unasema “hawezi fungua mdomo wake”, kwani alipofungua mwanzoni alikuwa bado siyo kivuli?
 
Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.

Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.

Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Wewe tunakujua ni timu jpm kwa io lazima umchukie mbowe
 
Hii avatar name yako Kamanda Asiyechoka imetoa jibu mujarabu kuwa kuna wakati mtu anachoka na sasa umechoka ndiyo maana umekuwa ma mashaka na m/kiti wako.
 
Amedai haki. Sasa unadhani haki inawezekana kupatikana bila Katiba Mpya?

Amandla...
Ndiyo.

Haki inaweza kupatikana bila katiba mpya.

Hii hii katiba ya sasa ikifuatwa vizuri, haki itapatikana vizuri tu mbona.

Mimi nataka katiba mpya. Lakini katiba mpya haitoleta haki automatically.

Haki huletwa na watu. Hailetwi na kurasa za vitabu.
 
Wewe tunakujua ni timu jpm kwa io lazima umchukie mbowe
Kweli mimi ni team jpm ila huwezi amini sina kadi ya ccm nina kadi ya chadema. Na mwaka 2015 nilimnadi sana lowasa.huu ndo ukweli.na hakuna sehemu hata humu nilishawahi msema vibaya mbowe.

Mimi ni muelewa awe upinzani au ccm anapofanya vizuri namsaport.

Kubwa kuliko yoooote hakuna kitu kilichoniuma kama kifo cha jpm. Tena umenikumbusha machungu trh kama ya leo ndo nilipata taarifa ya kifo cha jpm. Niliumia sana. Na muda huu niko chato nishalia macho yamevimba nitatoka mwisho wa mwezi huu.

Rip jpm wetu.
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
wewe kila kukicha unaandika ujinga tuuu.sijui kwa faida ya nani? bilashaka umelaaniwa kwa uzushi na uongo
Juzi hapa mlikuwa mnaomba MBOWE afungwe mkimwita gaidi.... gaidi katoka kaitwa ikulu mnaendelea kumzushia mwacheni mbowe apumzike.
hoja ya katiba mpya ni ya wanachadema wenyewe wakiongozwa na mbowe kama mkt, tena ilipoanzishwa mlibeza kwamba wananchi wanataka maendeleo na siyo katiba.
KAMA MBOWE KANUNULIWA WEWE SI UFURAHI? UNAUMIA NINI
ewe mwana wa shetani wa lumumba acha uzushi, majungu, fitna na roho ya chuki kwa MBOWE
 
Ndiyo.

Haki inaweza kupatikana bila katiba mpya.

Hii hii katiba ya sasa ikifuatwa vizuri, haki itapatikana vizuri tu mbona.

Mimi nataka katiba mpya. Lakini katiba mpya haitoleta haki automatically.

Haki huletwa na watu. Hailetwi na kurasa za vitabu.
Nakubaliana na wewe maana yule shetani aliyekufa kibudu aliacha kabisa hata kuifuata hiyo katiba mbovu.
yeye kwake sheria ilikuwa ni haramu.
mf. aliwaita watengeneza ndege na kujifungia nao Ikulu huku sheria yetu ya manunuzi akiwa ameikalia makalioni ikiloa jasho.
Kwenye manunuzi yale ya ndege hapakuwa na tenderyeyote. tunajuaje kama alikula 10% kwenye kila ndege?
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Kwa akili yako Mwenyekiti Mbowe ndiye pekee Tanzania nzima ana hakinya kudai Katiba mpya?? Mbona hata CCM baadhi yao wanaitaka ni basi tu wanapita kichinichini.
Viko vyama vingapi vya siasa na wana viongozi kwa nimi umzu guzzle Mbowe pekee. Tuna matatizo na hatutaki kuyamaliza.
Kwani wewe mwenyewe huitaki hiyo katiba mpya au bado unataka hii ya viraka!??

Tuweni wakweli sio kuleta uzi tata hapa JF.!
 
wewe kila kukicha unaandika ujinga tuuu.sijui kwa faida ya nani? bilashaka umelaaniwa kwa uzushi na uongo
Juzi hapa mlikuwa mnaomba MBOWE afungwe mkimwita gaidi.... gaidi katoka kaitwa ikulu mnaendelea kumzushia mwacheni mbowe apumzike.
hoja ya katiba mpya ni ya wanachadema wenyewe wakiongozwa na mbowe kama mkt, tena ilipoanzishwa mlibeza kwamba wananchi wanataka maendeleo na siyo katiba.
KAMA MBOWE KANUNULIWA WEWE SI UFURAHI? UNAUMIA NINI
ewe mwana wa shetani wa lumumba acha uzushi, majungu, fitna na roho ya chuki kwa MBOWE
Uharo na mavi vimejaa kichwani kwako.
 
Uharo na mavi vimejaa kichwani kwako.
kama mimi nina uharo na mvi wewe utakuwa nanini kama siyo USAHA?
Bora kuwa na uharo na mavi kichwani halafu ukawa mtu huru....... kuliko mtu na akili zako timamu tena umevaa suti ukijiita mwana usalama kama MUSIBA kutwa kucha unawaza kuchonganisha watu? usipomtaja MBOWE kwa mabaya MAKALIO YANAPWITA
Akili yako imevia, unasumbuliwa na ujinga wa KIHALAIKI WEWE. Collective incimbilization, chambilecho Chachage (R.I.P)
 
Ok?
 
Back
Top Bottom