Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

Vita vimekuwa vya kistaarabu siku hizi, natamani na sisi wakati wa vita vya kagera tungekuwa tunachaguliana maeneo ya kupiga
 
Iran atapigwa mara moja hatakaa kurudia . Atapewa fundisho ambalo hata akiambiwa ateme mate hata thubutu kutema .
Mkuu vita itapigwa Tena nikwambie tusiombe maana ni kama naona nchi za kiarabu zote pale Middle East na Israel zikichafuka na kuwa uwanja wa vita. Kumbuka marekani ana military base karibu nchi zote za kiarabu pale na Iran ameshatoa ONYO kuwa marekani akisogeza pua anaanza nazo. Marekani kupigana akiwa katika nchi za watu uwezo si sawa kama angekua nyumbani. Tusubiri
 
Wanataka mafuta na gas mashariki ya kati km walivyochukua Afghanistan,Iraq,Libya na sasa wanabeba yote plus nuklia material wakifanikiwa kuingia Iran maana walimtafuta sn China ikashindikana Russia akajipendekeza kupitia Ukrain and vita haitaisha ile kwakua US anauza silaha wkt huo anaiba rasilimali
 
Sahihi kabisa mkuu. Mziki wa Iran lazima kuwe na vikao visivyoisha maana wanajua mbabe Iran habahatishi anapoahidi jambo lake.

Halafu kuna makondoo Mayahudi meusi humu yanakwambia Iran hana uwezo huo wakati anaona Israel na mabwana zake wanakaa vikao angalau vy namna ya kulipa kisasi hata cha mchongo kuficha aibu ya kipigo cha Oktoba mosi.

Iran ni mbabe wa eneo zima mashariki ya kati ndiyo kampigisha magoti Israel miaka yote.
 
Iran hawezi kufanya kosa la kushambulia bases za Marekani, kwanza Iran itakuwa kama Afghastani na ndio utakua mwisho wa akina Ayattollah
 
Hawatofanikiwa kuingia Iran maana hawakuanza Leo tangu 1979 wamekua wakihangaika na Iran lakini ndio Iran imekuwa strong zaidi. Lakini naona kama huu ushirika mpya wa BRICKS ulioasisiwa na urusi nao utaleta mabadiliko makubwa sana katika siasa za kutawala hii Dunia.
 
Nimeweka sites hapo ambayo ni verified account.au ulikuwa unataka chanzo gani boss
Unajua ndugu yangu, anachofanya Ayatollah ni siasa.

Wairan wamechoshwa na utawala wa kidini wenye uonevu na ukandamizaji. Hali ya kisiasa Iran ni Mbaya, hivyo, kuhamisha mada, anajaribu kuwaleta wananchi kwny ishu ya Israel, kwamba we have one enemy, Israel.

Hiyo ni njia ya kuwaunganisha wananchi.

Pili, anajaribu kuwapa moyo wapiganaji wake wa Hezbollah na Hamas waliochakazwa vibaya kwamba yuko pamoja nao.

Hivyo, anafanya shambulio ili mradi shambulio, hata kama halina madhara yeyote kwa Israel na linaigharimu Iran gharama kubwa kulitekeleza.

Israel na Marekani wanalijua hilo, hivyo wanaweza kumpotezea tu na kuendelea na oparesheni yao ya kusafisha Hamas na Hezbollah.

Lakini, wanaweza kumjibu ili asizoee.

Kwa maoni yangu mimi, kumpotezea ndio option bora zaidi.

Iran hana madhara yeyote kwa Israel, na wakiamua kumshughulikia, hachukui raundi.

Myahudi kapiga airbase ya Urusi na Urusi hawezi kufanya lolote, zaidi ya kutoa umbea tu wa kuona ndege za Israel, sembuse Iran.

Iran ni underdog.

cc Kiranga Nyani Ngabu
 
Hata hivyo, hadi sasa katika hatua IDF aliyofikia inampa kiwewe sana Iran. Hebu fikiria kwamba kidume amesimaia ukucha dhidi ya HAMAS, Hezbollah, Houths (Yemen), Islamic Popular Force(Iraq) na wale jamaa wanaojiita Syrian Arab Army (Syria) na ukizingatia makundi hayo yate yanafadhiliwa pakubwa na Iran; kwa kweli tuseme ule Ukweli kidume ni ngangari haswa.
Hata huko Iran utasikia kilio "IDF anaua watoto na akina mama na kubomoa miundombinu ya kijamii". Wee subiri Mwamba akinukishe tu utasikia yowe.
 
Israel angekuwa na uwezo wa kulipa kisasi angelipa siku ile ile lakini leo siku ya 5 kimya zaidi ya kukaa vikao lukuki na mabwana zake anaomba asaidiwe kulipa kisasi lakini bado wanajiuliza jibu la Iran litakuwaje hasa?

Netanyahu wakati anabwabwaja kule UN mwanaume Iran kesho yake akamshushia kipigo kumziba mdomo.

Israel akaleta mkwara mwingine kwamba atailipua ndege yoyote ya Iran itakayotua Lebanon.

Kabla mate hayajakauka mwanaume wa Iran ambaye ni waziri wa mambo ya nje ameenda jana Lebanon amefanya mambo yake kama kawaida hakuna choko aliyerusha hata mchanga.
 
Iran hawezi kufanya kosa la kushambulia bases za Marekani, kwanza Iran itakuwa kama Afghastani na ndio utakua mwisho wa akina Ayattollah
Marekani akithibutu kushambulia Iran bases zake zitapigwa na tayari wakuu wa nchi za kiarabu wamekutana na raisi wa Iran kule Qatar wiki hii na kuahidi kuwa hawataruhusu base za marekani kutumika kushambulia Iran. Jibu la Iran lipo wazi atakeruhusu moto utamrudia na Iran Hana utani kwenye hilo kazi kwao kuchagua amani au vita.

Ndio maana nikatoa angalizo wakicheza hiyo sijui Dubai watu wanaopenda Kula Bata inaweza kugeuzwa uwanja wa vita soon.
 
Israel kwa uwezo alionao wa kisilaha na teknolojia Wala hatuwezi kusema ana changamoto hapo Gaza au Syria na Lebanon. Ukitaka kuamini hilo angalia shambulio la Iran la tarehe 1 hakukuwa sijui na iron dome, arrows 3 au David sling missiles about 90% zili hit target hiyo maanake ni kwamba Huwa Israel anatumia bunduki kuuwa nzi.
 
BRICS
 
Shida inaweza kuwa kwa nchi itakayokubali kuhost hao Wamarekani ila Iran bado sio chochote kwa US na huo Umoja wa Nchi za Kiarabu hauna nguvu yoyote.
 
Mfano ndo carier imeshushuwa ile mzigo ya juzi ikiwa na F35 ..F16... mahelekopta ...unaccoma karibia 70trillion kwa mara moja ..
 


Miaka mingi Marekani alitamani Iran waingie 18 wenyewe, sasa kaingia mwenyewe lazima anyolewe ndevu.
 
Aisee! Ikitokea Israeli anapigana na Iran itakuwa ni halali kwa Mataifa rafiki wa Israeli kusaidia. Kwa hali ilivyo sasa hayo makundi ya HAMAS,Hezbollah, Houthis n.k. ni vikundi ndani ya nchi huru tena za Kidemokrasia vina silaha na vinafadhiliwa na Taifa la Iran kuleta machafuko ndani ya nchi zao na hata nchi za nje alimradi tu Iran haipatani na uongozi wa nchi hizo.. It is a complex situation kwamba kuna kikundi ndani ya nchi na nchi hiyo imeshindwa kukidhibiti hadi kinajifanyia kinavyotaka. Matokeo yake vikundi hivyo vimesababisha nchi kuingia kwenye vita e.g. HAMAS amesababisha vita kwa nchi ya Palestina, Hezbollah kwa nchi ya Lebanon na soon itakuwa Houth kwa nchi ya Yemen n.k.
Lakini ikiwa ni vita baina ya nchi kwa nchi hiyo itakuwa ni rahisi zaidi kwani Mtaifa rafiki yataweza kuingilia na kusaidia - Na Iran analijua hilo ndo mana anayatumia makundi ndani ya nchi kwa kuyafadhili mafunzo na silaha. Yeye Iran katulia kana kwamba hahusiki na kinachoendelea huko. Ila safari hii naona ameyatimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…