Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #21
Sasa nimekosea Nini kuleta hii taarifa? Kwani nimeripoti uwongo hawajakutana Leo huko Tel Aviv?Unaweweseka nini Israel wametumia kimya mbona unakiwewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nimekosea Nini kuleta hii taarifa? Kwani nimeripoti uwongo hawajakutana Leo huko Tel Aviv?Unaweweseka nini Israel wametumia kimya mbona unakiwewe
Kwa upande wa Hezbollah bado wanamenyana vilivyo ila kwa hapo Iran mmh! Nadhani hao wakubwa wamekutana ili kufanya "moderation" kwamba katika kile alichokuwa amepanga Israeli ni vitu gani viondolewe i.e. visifanyike kama alivyodokeza mzee Biden hapo awali e.g. Israeli asipige vinu vya nuclear n.k. au ni nini cha kufanya kama nyongeza ili Iran isijerudia tena mchezo ule wa tar. 1 oktoba 2024 - Tumwombe Mungu aepushe WW3.vita
Mkuu vita itapigwa Tena nikwambie tusiombe maana ni kama naona nchi za kiarabu zote pale Middle East na Israel zikichafuka na kuwa uwanja wa vita. Kumbuka marekani ana military base karibu nchi zote za kiarabu pale na Iran ameshatoa ONYO kuwa marekani akisogeza pua anaanza nazo. Marekani kupigana akiwa katika nchi za watu uwezo si sawa kama angekua nyumbani. TusubiriIran atapigwa mara moja hatakaa kurudia . Atapewa fundisho ambalo hata akiambiwa ateme mate hata thubutu kutema .
Wanataka mafuta na gas mashariki ya kati km walivyochukua Afghanistan,Iraq,Libya na sasa wanabeba yote plus nuklia material wakifanikiwa kuingia Iran maana walimtafuta sn China ikashindikana Russia akajipendekeza kupitia Ukrain and vita haitaisha ile kwakua US anauza silaha wkt huo anaiba rasilimaliHivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1 ambalo limeishtua Israel na ulimwengu kwa ujumla.
Inasemekana Israel kwa kushirikiana na marekani wanapanga kushambulia Iran wakati wowote baada ya jaribio la Jana kushindikana kwa ndege 4 za marekani F- 35 zilizoripotiwa kukaribia ghuba ya uajemi na taarifa hizo kuripotiwa na Urusi kwa Iran hatimae ndege hizo kugeuza na kurudi zilipotoka.
Iran kwa upande wake amerejea kauli yake kuwa anasubiri waje halafu baada ya hapo na yeye atalipa kisasi kwa nguvu zaidi.
Tuendelee kuomba amani Kuna uwezekano mashariki ya kati pakageuka uwanja wa vita ya Dunia ya 3.
View attachment 3116240
Sahihi kabisa mkuu. Mziki wa Iran lazima kuwe na vikao visivyoisha maana wanajua mbabe Iran habahatishi anapoahidi jambo lake.Kiwewe cha Oktoba 1 kinaitesa Israel unajua Netanyahu kisaikolojia ni mtu asiyependa kushindwa Wala kuaibishwa kwa namna yeyote maana alishajitapa kuwa yeye pale Middle East ndio mwenye sharubu kwahiyo kile kipigo cha jumanne mpaka sasa presha yake ipo juu ni kwamba tu sasa mtu mwenyewe ni Iran lazima aombe msaada huku na huku na kujipanga ili ionekana amefanya kitu kujibu hata kama jaribio likifeli potelea mbali
Iran hawezi kufanya kosa la kushambulia bases za Marekani, kwanza Iran itakuwa kama Afghastani na ndio utakua mwisho wa akina AyattollahMkuu vita itapigwa Tena nikwambie tusiombe maana ni kama naona nchi za kiarabu zote pale Middle East na Israel zikichafuka na kuwa uwanja wa vita. Kumbuka marekani ana military base karibu nchi zote za kiarabu pale na Iran ameshatoa ONYO kuwa marekani akisogeza pua anaanza nazo. Marekani kupigana akiwa katika nchi za watu uwezo si sawa kama angekua nyumbani. Tusubiri
Hawatofanikiwa kuingia Iran maana hawakuanza Leo tangu 1979 wamekua wakihangaika na Iran lakini ndio Iran imekuwa strong zaidi. Lakini naona kama huu ushirika mpya wa BRICKS ulioasisiwa na urusi nao utaleta mabadiliko makubwa sana katika siasa za kutawala hii Dunia.Wanataka mafuta na gas mashariki ya kati km walivyochukua Afghanistan,Iraq,Libya na sasa wanabeba yote plus nuklia material wakifanikiwa kuingia Iran maana walimtafuta sn China ikashindikana Russia akajipendekeza kupitia Ukrain and vita haitaisha ile kwakua US anauza silaha wkt huo anaiba rasilimali
Unajua ndugu yangu, anachofanya Ayatollah ni siasa.Nimeweka sites hapo ambayo ni verified account.au ulikuwa unataka chanzo gani boss
Hata hivyo, hadi sasa katika hatua IDF aliyofikia inampa kiwewe sana Iran. Hebu fikiria kwamba kidume amesimaia ukucha dhidi ya HAMAS, Hezbollah, Houths (Yemen), Islamic Popular Force(Iraq) na wale jamaa wanaojiita Syrian Arab Army (Syria) na ukizingatia makundi hayo yate yanafadhiliwa pakubwa na Iran; kwa kweli tuseme ule Ukweli kidume ni ngangari haswa.Kiwewe cha Oktoba 1 kinaitesa Israel unajua Netanyahu kisaikolojia ni mtu asiyependa kushindwa Wala kuaibishwa kwa namna yeyote maana alishajitapa kuwa yeye pale Middle East ndio mwenye sharubu kwahiyo kile kipigo cha jumanne mpaka sasa presha yake ipo juu ni kwamba tu sasa mtu mwenyewe ni Iran lazima aombe msaada huku na huku na kujipanga ili ionekana amefanya kitu kujibu hata kama jaribio likifeli potelea mbali
Marekani akithibutu kushambulia Iran bases zake zitapigwa na tayari wakuu wa nchi za kiarabu wamekutana na raisi wa Iran kule Qatar wiki hii na kuahidi kuwa hawataruhusu base za marekani kutumika kushambulia Iran. Jibu la Iran lipo wazi atakeruhusu moto utamrudia na Iran Hana utani kwenye hilo kazi kwao kuchagua amani au vita.Iran hawezi kufanya kosa la kushambulia bases za Marekani, kwanza Iran itakuwa kama Afghastani na ndio utakua mwisho wa akina Ayattollah
Hakuna cha vita kusambaa wala nn, iran itaminywa na hakuna kitu waarabu watafanya na maisha yataendeleaTunapoelekea hii vita itasambaa mashariki yote ya kati wasipokua makini maana Israel akipiga Iran atarudisha na ndio utakua mchezo unadhani kitafuata Nini hapo .
Israel kwa uwezo alionao wa kisilaha na teknolojia Wala hatuwezi kusema ana changamoto hapo Gaza au Syria na Lebanon. Ukitaka kuamini hilo angalia shambulio la Iran la tarehe 1 hakukuwa sijui na iron dome, arrows 3 au David sling missiles about 90% zili hit target hiyo maanake ni kwamba Huwa Israel anatumia bunduki kuuwa nzi.Hata hivyo, hadi sasa katika hatua IDF aliyofikia inampa kiwewe sana Iran. Hebu fikiria kwamba kidume amesimaia ukucha dhidi ya HAMAS, Hezbollah, Houths (Yemen), Islamic Popular Force(Iraq) na wale jamaa wanaojiita Syrian Arab Army (Syria) na ukizingatia makundi hayo yate yanafadhiliwa pakubwa na Iran; kwa kweli tuseme ule Ukweli kidume ni ngangari haswa.
Hata huko Iran utasikia kilio "IDF anaua watoto na akina mama na kubomoa miundombinu ya kijamii". Wee subiri Mwamba akinukishe tu utasikia yowe.
BRICSHawatofanikiwa kuingia Iran maana hawakuanza Leo tangu 1979 wamekua wakihangaika na Iran lakini ndio Iran imekuwa strong zaidi. Lakini naona kama huu ushirika mpya wa BRICKS ulioasisiwa na urusi nao utaleta mabadiliko makubwa sana katika siasa za kutawala hii Dunia.
Shida inaweza kuwa kwa nchi itakayokubali kuhost hao Wamarekani ila Iran bado sio chochote kwa US na huo Umoja wa Nchi za Kiarabu hauna nguvu yoyote.Marekani akithibutu kushambulia Iran bases zake zitapigwa na tayari wakuu wa nchi za kiarabu wamekutana na raisi wa Iran kule Qatar wiki hii na kuahidi kuwa hawataruhusu base za marekani kutumika kushambulia Iran. Jibu la Iran lipo wazi atakeruhusu moto utamrudia na Iran Hana utani kwenye hilo kazi kwao kuchagua amani au vita.
Ndio maana nikatoa angalizo wakicheza hiyo sijui Dubai watu wanaopenda Kula Bata inaweza kugeuzwa uwanja wa vita soon.
Mfano ndo carier imeshushuwa ile mzigo ya juzi ikiwa na F35 ..F16... mahelekopta ...unaccoma karibia 70trillion kwa mara moja ..Mkuu vita itapigwa Tena nikwambie tusiombe maana ni kama naona nchi za kiarabu zote pale Middle East na Israel zikichafuka na kuwa uwanja wa vita. Kumbuka marekani ana military base karibu nchi zote za kiarabu pale na Iran ameshatoa ONYO kuwa marekani akisogeza pua anaanza nazo. Marekani kupigana akiwa katika nchi za watu uwezo si sawa kama angekua nyumbani. Tusubiri
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1 ambalo limeishtua Israel na ulimwengu kwa ujumla.
Inasemekana Israel kwa kushirikiana na marekani wanapanga kushambulia Iran wakati wowote baada ya jaribio la Jana kushindikana kwa ndege 4 za marekani F- 35 zilizoripotiwa kukaribia ghuba ya uajemi na taarifa hizo kuripotiwa na Urusi kwa Iran hatimae ndege hizo kugeuza na kurudi zilipotoka.
Iran kwa upande wake amerejea kauli yake kuwa anasubiri waje halafu baada ya hapo na yeye atalipa kisasi kwa nguvu zaidi.
Tuendelee kuomba amani Kuna uwezekano mashariki ya kati pakageuka uwanja wa vita ya Dunia ya 3.
View attachment 3116240
Aisee! Ikitokea Israeli anapigana na Iran itakuwa ni halali kwa Mataifa rafiki wa Israeli kusaidia. Kwa hali ilivyo sasa hayo makundi ya HAMAS,Hezbollah, Houthis n.k. ni vikundi ndani ya nchi huru tena za Kidemokrasia vina silaha na vinafadhiliwa na Taifa la Iran kuleta machafuko ndani ya nchi zao na hata nchi za nje alimradi tu Iran haipatani na uongozi wa nchi hizo.. It is a complex situation kwamba kuna kikundi ndani ya nchi na nchi hiyo imeshindwa kukidhibiti hadi kinajifanyia kinavyotaka. Matokeo yake vikundi hivyo vimesababisha nchi kuingia kwenye vita e.g. HAMAS amesababisha vita kwa nchi ya Palestina, Hezbollah kwa nchi ya Lebanon na soon itakuwa Houth kwa nchi ya Yemen n.k.Mkuu vita itapigwa Tena nikwambie tusiombe maana ni kama naona nchi za kiarabu zote pale Middle East na Israel zikichafuka na kuwa uwanja wa vita. Kumbuka marekani ana military base karibu nchi zote za kiarabu pale na Iran ameshatoa ONYO kuwa marekani akisogeza pua anaanza nazo. Marekani kupigana akiwa katika nchi za watu uwezo si sawa kama angekua nyumbani. Tusubiri