Israel kwa uwezo alionao wa kisilaha na teknolojia Wala hatuwezi kusema ana changamoto hapo Gaza au Syria na Lebanon. Ukitaka kuamini hilo angalia shambulio la Iran la tarehe 1 hakukuwa sijui na iron dome, arrows 3 au David sling missiles about 90% zili hit target hiyo maanake ni kwamba Huwa Israel anatumia bunduki kuuwa nzi.
Sasa kama marekani anategemea bases zilizopo uarabuni na wao wakatia ngumu kutumika kwa maslahi ya Israel na marekani unadhani marekani atafanyaje?Shida inaweza kuwa kwa nchi itakayokubali kuhost hao Wamarekani ila Iran bado sio chochote kwa US na huo Umoja wa Nchi za Kiarabu hauna nguvu yoyote.
Muda sio mrefu tutajua mbwa koko ni wewe au hao wa mbagalaHalafu wakiristo wa jf wa Mbagala mbwa kachoka wanadai Isreal inaendesha vita bila ya USA
Israeli Hana uwezo wa kuanzisha battle na Iran bila msaada wa nchi za kiarabu na marekani. Je waarabu watakubali kutumiwa na marekani kuipiga Iran?Huu ndio mwisho wa udictator wa Iran.
Na kaingia mwenyewe kichwa kichwa kwenye kuipiga Iran.
Iran alikosea sana kuipiga Israel.
Mrusi hawezi kuisaidia Iran iliyo andaa Magaidi walio wauwa raia wa Urusi kwenye ukumbi wa starehe bila sababu.
Haitapita miaka miwili bila kusambaratika kwa Iran.
Iran ishajitengenezea sababu za kuangushwa kwa Dola la Kiislamu la Iran.
Mnatengeneza story, mnajijibu wenyewe ili mradi mjifurahishe. Hizo Stealth kama zingekuwa zinaenda kushambulia wala zisingerudi sababu ya eti Russia aliwa tip Iran.Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1 ambalo limeishtua Israel na ulimwengu kwa ujumla.
Inasemekana Israel kwa kushirikiana na marekani wanapanga kushambulia Iran wakati wowote baada ya jaribio la Jana kushindikana kwa ndege 4 za marekani F- 35 zilizoripotiwa kukaribia ghuba ya uajemi na taarifa hizo kuripotiwa na Urusi kwa Iran hatimae ndege hizo kugeuza na kurudi zilipotoka.
Iran kwa upande wake amerejea kauli yake kuwa anasubiri waje halafu baada ya hapo na yeye atalipa kisasi kwa nguvu zaidi.
Tuendelee kuomba amani Kuna uwezekano mashariki ya kati pakageuka uwanja wa vita ya Dunia ya 3.
View attachment 3116240
Jishughulishe kupata habari sisi tunazitafuta huko duniani tuna share na watu kama nyie mlioko mbwinde huko ili kufahamu kinachoendelea Bado unaleta ubishi .Mnatengeneza story, mnajijibu wenyewe ili mradi mjifurahishe. Hizo Stealth kama zingekuwa zinaenda kushambulia wala zisingerudi sababu ya eti Russia aliwa tip Iran.
Mnavyosema aliwa tip utadhani mnaongelea kuwa wali post mitandaoni.
Kama aliwa tip maana yake ni taarifa ya siri ili Iran ijiandae, sasa kusema baada ya Iran kuwa tipped waligeuza mna maanisha tip hiyo ili postiwa mitandaoni?? Huwa mnajifikiria kweli?
Sasa hup upuuzi na wewe ndiyo unajitutumua kuwa ulijishughulisha kuutafuta?Jishughulishe kupata habari sisi tunazitafuta huko duniani tuna share na watu kama nyie mlioko mbwinde huko ili kufahamu kinachoendelea Bado unaleta ubishi .
View attachment 3116289View attachment 3116290
ipokee upendavyo, hakuna uzi wa taarifa ya habari JF.Hii ni habari au hadithi?
NB: Habari ni lazima iwe chanzo konachoaminika.
Yote uliyosema yako sahihi ila mkuu ujue vita vyataka utumie akili sana sio kufanya kwa mihemuko. Huyo waziri ana umuhimu gani katika vita iliyopo uwanjani? Kwa nini auawe? Vita sio Rampant killingIsrael angekuwa na uwezo wa kulipa kisasi angelipa siku ile ile lakini leo siku ya 5 kimya zaidi ya kukaa vikao lukuki na mabwana zake anaomba asaidiwe kulipa kisasi lakini bado wanajiuliza jibu la Iran litakuwaje hasa?
Netanyahu wakati anabwabwaja kule UN mwanaume Iran kesho yake akamshushia kipigo kumziba mdomo.
Israel akaleta mkwara mwingine kwamba atailipua ndege yoyote ya Iran itakayotua Lebanon.
Kabla mate hayajakauka mwanaume wa Iran ambaye ni waziri wa mambo ya nje ameenda jana Lebanon amefanya mambo yake kama kawaida hakuna choko aliyerusha hata mchanga.
Ingekuwa ni upuuzi usingeulizia.Sasa hup upuuzi na wewe ndiyo unajitutumua kuwa ulijishughulisha kuutafuta?
Sawa mwarabu mweusiHalafu wakiristo wa jf wa Mbagala mbwa kachoka wanadai Isreal inaendesha vita bila ya USA
Uongozi wa Trump base ya US nchini Iraq ilishambuliwa kwa ballistic missile na Iran.Iran hawezi kufanya kosa la kushambulia bases za Marekani, kwanza Iran itakuwa kama Afghastani na ndio utakua mwisho wa akina Ayattollah
Hii haisaidii kitu kwa sababu viongozi wanateuliwa wengine na watu wanaendelea na operation zao kama awali.Haya mtatubu tu muda ukifika
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1842574587969614199?t=-qFdcCaLvHsp2dK7wO04Mg&s=19
Mkiambiwa mna ushabiki hamtaki kukubali.Hakuna cha vita kusambaa wala nn, iran itaminywa na hakuna kitu waarabu watafanya na maisha yataendelea
Nyinyi vijana hivi mnafuatilia habari?Miaka mingi Marekani alitamani Iran waingie 18 wenyewe, sasa kaingia mwenyewe lazima anyolewe ndevu.
Sahizi Iran atapewa Iskander na mrusi ili kuwaangamiza panya watakaojificha kwenye bunkers😂 akiwemo Netanyahu na asiombee radar iwasome huko mafichoni.Israel angekuwa na uwezo wa kulipa kisasi angelipa siku ile ile lakini leo siku ya 5 kimya zaidi ya kukaa vikao lukuki na mabwana zake anaomba asaidiwe kulipa kisasi lakini bado wanajiuliza jibu la Iran litakuwaje hasa?
Netanyahu wakati anabwabwaja kule UN mwanaume Iran kesho yake akamshushia kipigo kumziba mdomo.
Israel akaleta mkwara mwingine kwamba atailipua ndege yoyote ya Iran itakayotua Lebanon.
Kabla mate hayajakauka mwanaume wa Iran ambaye ni waziri wa mambo ya nje ameenda jana Lebanon amefanya mambo yake kama kawaida hakuna choko aliyerusha hata mchanga.
Mvaa msalaba wa Mbao anadhani Wayahudi ni wenzake😀😀Mbona mnaweweseka sana wakati nyie ndio mmeishambulia Israel Kwa vibaruti 200 Israel haiwezi kujibu hiyo tufanye Iran imeshinda naona mnakiwewe Sanaa wakati Iran imeshinda tulieni nyie wavaa kobazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata wamwite mbwa ila tupo pamoja na Israel taifa teule sisi tunajua ni wakristo wenzetu wanaowachakaza magaidi na tunafurahia nchi yetu ya Israeli taifa teule god bless IsraelMvaa msalaba wa Mbao anadhani Wayahudi ni wenzake😀😀
Yesu wako wanamuita mtoto wa halamu😀
Netanyahu inambidi akubali hapo mashariki ya kati kuna chizi kama wao!Sahizi Iran atapewa Iskander na mrusi ili kuwaangamiza panya watakaojificha kwenye bunkers😂 akiwemo Netanyahu na asiombee radar iwasome huko mafichoni.