Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

Israel kwa uwezo alionao wa kisilaha na teknolojia Wala hatuwezi kusema ana changamoto hapo Gaza au Syria na Lebanon. Ukitaka kuamini hilo angalia shambulio la Iran la tarehe 1 hakukuwa sijui na iron dome, arrows 3 au David sling missiles about 90% zili hit target hiyo maanake ni kwamba Huwa Israel anatumia bunduki kuuwa nzi.
:OkayChamping:
 
Shida inaweza kuwa kwa nchi itakayokubali kuhost hao Wamarekani ila Iran bado sio chochote kwa US na huo Umoja wa Nchi za Kiarabu hauna nguvu yoyote.
Sasa kama marekani anategemea bases zilizopo uarabuni na wao wakatia ngumu kutumika kwa maslahi ya Israel na marekani unadhani marekani atafanyaje?
 
Huu ndio mwisho wa udictator wa Iran.
Na kaingia mwenyewe kichwa kichwa kwenye kuipiga Iran.
Iran alikosea sana kuipiga Israel.
Mrusi hawezi kuisaidia Iran iliyo andaa Magaidi walio wauwa raia wa Urusi kwenye ukumbi wa starehe bila sababu.

Haitapita miaka miwili bila kusambaratika kwa Iran.

Iran ishajitengenezea sababu za kuangushwa kwa Dola la Kiislamu la Iran.
 
Israeli Hana uwezo wa kuanzisha battle na Iran bila msaada wa nchi za kiarabu na marekani. Je waarabu watakubali kutumiwa na marekani kuipiga Iran?
 
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1 ambalo limeishtua Israel na ulimwengu kwa ujumla.
Inasemekana Israel kwa kushirikiana na marekani wanapanga kushambulia Iran wakati wowote baada ya jaribio la Jana kushindikana kwa ndege 4 za marekani F- 35 zilizoripotiwa kukaribia ghuba ya uajemi na taarifa hizo kuripotiwa na Urusi kwa Iran hatimae ndege hizo kugeuza na kurudi zilipotoka.

Iran kwa upande wake amerejea kauli yake kuwa anasubiri waje halafu baada ya hapo na yeye atalipa kisasi kwa nguvu zaidi.

Tuendelee kuomba amani Kuna uwezekano mashariki ya kati pakageuka uwanja wa vita ya Dunia ya 3.
View attachment 3116240
Mnatengeneza story, mnajijibu wenyewe ili mradi mjifurahishe. Hizo Stealth kama zingekuwa zinaenda kushambulia wala zisingerudi sababu ya eti Russia aliwa tip Iran.

Mnavyosema aliwa tip utadhani mnaongelea kuwa wali post mitandaoni.
Kama aliwa tip maana yake ni taarifa ya siri ili Iran ijiandae, sasa kusema baada ya Iran kuwa tipped waligeuza mna maanisha tip hiyo ili postiwa mitandaoni?? Huwa mnajifikiria kweli?
 
Jishughulishe kupata habari sisi tunazitafuta huko duniani tuna share na watu kama nyie mlioko mbwinde huko ili kufahamu kinachoendelea Bado unaleta ubishi .
Screenshot_20241005-213355.png
Screenshot_20241005-213416.png
 
Israel angekuwa na uwezo wa kulipa kisasi angelipa siku ile ile lakini leo siku ya 5 kimya zaidi ya kukaa vikao lukuki na mabwana zake anaomba asaidiwe kulipa kisasi lakini bado wanajiuliza jibu la Iran litakuwaje hasa?

Netanyahu wakati anabwabwaja kule UN mwanaume Iran kesho yake akamshushia kipigo kumziba mdomo.

Israel akaleta mkwara mwingine kwamba atailipua ndege yoyote ya Iran itakayotua Lebanon.

Kabla mate hayajakauka mwanaume wa Iran ambaye ni waziri wa mambo ya nje ameenda jana Lebanon amefanya mambo yake kama kawaida hakuna choko aliyerusha hata mchanga.
Yote uliyosema yako sahihi ila mkuu ujue vita vyataka utumie akili sana sio kufanya kwa mihemuko. Huyo waziri ana umuhimu gani katika vita iliyopo uwanjani? Kwa nini auawe? Vita sio Rampant killing
Tena sio lazima Israeli alipe kisasi ndani ya muda unaoutaka wewe. Kisasi kitalipwa tu. Ww subiri.
Iran kwa kinywa cha Ayatollah Khamenei (kiongozi mkuu wa Iran) siku ya Ijumaa wakati wa Swala alisema na kukiri mwenyewe kwamba Iran imeipiga Israeli kwa kulipiza kisasi dhidi ya mauaji ya H. Nasrallah. Hakusema ni kwa ajili ya maneno au kauli alizotoa Neta kule UN. Mbona ww unasema ya kwako?
 
Iran hawezi kufanya kosa la kushambulia bases za Marekani, kwanza Iran itakuwa kama Afghastani na ndio utakua mwisho wa akina Ayattollah
Uongozi wa Trump base ya US nchini Iraq ilishambuliwa kwa ballistic missile na Iran.
 
Hii haisaidii kitu kwa sababu viongozi wanateuliwa wengine na watu wanaendelea na operation zao kama awali.

Anachotakiwa kufanya Israel ni kupiga miundombinu ya kijeshi ya Hizbullah na akifanya hivi atampunguza nguvu na kumdhibiti.

Hii kuua viongozi haisaidii kitu. Mpaka muda huu bado anashindwa kuingia South Lebanon licha ya kuua viongozi wengi wa Hizbullah.

Ni sawa sawa unapigana na Tanzania halafu kazi yako ni kuua makamanda wake hali ya kuwa base zetu bado zipo na silaha za kumwaga. Uwanja wetu wa ndege na bandari bado zinafanya kazi kama kawaida silaha zinaingia. Askari wetu bado wapo wa kumwaga. Wewe unahangaika kuua viongozi hali ya kuwa akiuliwa mmoja ni suala la kuteuliwa mwengine na shughuli inaendelea sasa unafanya nini?

Viongozi wa Israel ni kama genge fulani la wahalifu, maamuzi yao ni kukurupuka sana.

Hii vita wameshafeli hata kabla hawajaanza. Hizbullah imeshashinda hii vita.
 
Hakuna cha vita kusambaa wala nn, iran itaminywa na hakuna kitu waarabu watafanya na maisha yataendelea
Mkiambiwa mna ushabiki hamtaki kukubali.

US na UK wanamsaidia Israel kijeshi hapo mashariki ya kati. Juzi ndege za US zimeenda kushambulia Yemen na US wamekiri hilo!

Gulf states kwa hapo Middle East ndipo kuna base nyingi za US. Nchi kama Qatar, UAE, Bahrain, Kuwait, Saudi Arabia n.k

Israel haiwezi kupambana moja kwa moja na Iran. Iran kwake ni kubwa na hali hii itasababisha US iingie moja kwa moja.

Hii hatari Gulf states wameshaiona na ndiyo maana tangu juzi walitoa tamko hawataruhusu base za US nchini mwao zitumike dhidi ya Iran kwa sababu zikitumika ni sawa sawa na wao wameitangazia vita Iran.

Kama US inahitaji kumsaidia Israel basi msaada utoke moja kwa moja US. Uongozi wa Trump Iran ilishambulia base ya US nchini Iraq na kuisambaratisha.

US ikatoa ndege zake Dubai kwenda kushambulia Iran ili kujibu mapigo. Iran ikawaambia Dubai, ikiwa kombora hata moja likiweza kushambulia kwenye ardhi yangu leo hii hii naishambulia Dubai.

Dubai ikapiga makelele US ikarudisha ndege kwenye base zake.
 
Israel angekuwa na uwezo wa kulipa kisasi angelipa siku ile ile lakini leo siku ya 5 kimya zaidi ya kukaa vikao lukuki na mabwana zake anaomba asaidiwe kulipa kisasi lakini bado wanajiuliza jibu la Iran litakuwaje hasa?

Netanyahu wakati anabwabwaja kule UN mwanaume Iran kesho yake akamshushia kipigo kumziba mdomo.

Israel akaleta mkwara mwingine kwamba atailipua ndege yoyote ya Iran itakayotua Lebanon.

Kabla mate hayajakauka mwanaume wa Iran ambaye ni waziri wa mambo ya nje ameenda jana Lebanon amefanya mambo yake kama kawaida hakuna choko aliyerusha hata mchanga.
Sahizi Iran atapewa Iskander na mrusi ili kuwaangamiza panya watakaojificha kwenye bunkers😂 akiwemo Netanyahu na asiombee radar iwasome huko mafichoni.
 
Mbona mnaweweseka sana wakati nyie ndio mmeishambulia Israel Kwa vibaruti 200 Israel haiwezi kujibu hiyo tufanye Iran imeshinda naona mnakiwewe Sanaa wakati Iran imeshinda tulieni nyie wavaa kobazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mvaa msalaba wa Mbao anadhani Wayahudi ni wenzake😀😀

Yesu wako wanamuita mtoto wa halamu😀
 
Mvaa msalaba wa Mbao anadhani Wayahudi ni wenzake😀😀

Yesu wako wanamuita mtoto wa halamu😀
Hata wamwite mbwa ila tupo pamoja na Israel taifa teule sisi tunajua ni wakristo wenzetu wanaowachakaza magaidi na tunafurahia nchi yetu ya Israeli taifa teule god bless Israel
 
Sahizi Iran atapewa Iskander na mrusi ili kuwaangamiza panya watakaojificha kwenye bunkers😂 akiwemo Netanyahu na asiombee radar iwasome huko mafichoni.
Netanyahu inambidi akubali hapo mashariki ya kati kuna chizi kama wao!

Ambaye haogopi kama wao!

Ambaye wana maamuzi magumu kama wao!

Ambaye ana uwezo wa kuleta madhara moja kwa moja Israel na makubwa.

Mistake yoyote atakayoifanya itaigharimu Israel pakubwa na ataingia kwenye historia ya taifa lao kama kiongozi mjinga.

Tatizo la Netanyahu ni kiburi ana majivuno na hakubali kudhalilika.

Ndiyo maana anatafuta kila namna ya kutoonekana mnyonge kwa Iran.

Sasa hii itamgharimu! Iran nao ni vichaa kama wao!
 
Back
Top Bottom