rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mnyika kaliongelea hadharani ili tujumuike wote kulisakata rhumba, ama sivyo angeongelea kný vikao vya ndaniMbona hili suala tusio wahusika Wakuu wa CHADEMA tunakomalia sana
Uzi ungeishia hapa, umemjibu vyema sana huyu mfukuzia teuzi..Kuwa msaliti haijalishi ulianzia wapi.. Mtu yeyote anaweza kuwa msaliti, msaliti hatoki pembeni, hutokea mulemule...
Poleni sana mliosalitiwa
Huyu ndio Paskal💪Wanabodi,
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye huku ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CCM ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni huku ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata!. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
- Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakupa the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikmwingia...ilikuwa ni almanusura asingewahisha...saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
- Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha CCM Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu milimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu jf, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
- Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!. Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
- Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kirakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
- Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, ana angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya co habitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kilasha akaamkia bungeni dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
Wish Halima and her team, all the best, kama wataandibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Jitahidi ku-summarise bro. Unaongea Sana. But mbona hukuhoji Chama Kumvua uanachama Membe?? Au unadhani Membe hakukitumikia Chama?Wanabodi,

Jamaa sio teuzi tu ila ni sehemu ya kuomba msamaha....
P. Asante sanaaaa kwa ufafanuziWanabodi,

Mayala endelea kusherehesha watu. Kama karma ipo, basi itaanza na wewe kwa kuisailiti nafsi na utu wako.Wanabodi,

Ukiona unaonewa huruma/ unasifiwa na adui yako jiulize saaaaana mswali kichwani mwakoWanabodi,

The fact kwamba leo Pascal kawa mtetezi mkuu wa kina Mdee inatia shaka sana. Imekuwaje na iweje leo Mayalla awe ndio mtetezi wao? Sijui huu ni uzi wa ngapi umeanzisha kuhusu hili, Kunani nyuma ya hili?Wanabodi,

Mwishowe ni muhimu sana hao wanawake wafukuzwe kwa chadema ya baadaye. Kukubaliana na viti maalum ni inconsistency kwa madai yao ya uchaguzi kuvurugwa.CHADEMA Wako kwenye mitihani sana , ni wazi kuwa watesi wao wanafurahia UCHONGANISHI waliowafanyia ....na wanaona kabisa hawachomoki...., leo wanatakiwa watoe maamuzi ya busara kwakuwa uamuzi wa kuwafukuza utashangiliwa na wana CCM na uamuzi wa kuwabakiza pia utatumiwa kuchochea kuni na wana CCM ....
Kiukweli demokrasia nchini iko kwenye mtihani mkubwa sana ....hakuna shaka kuwa hawa wanamama ni wana chadema kwa moyo kabisa lakini bahati mbaya wamenasishwa kwenye mtego na watesi wao pamoja na chama chao
Umeongea jambo la mhimu sana na unatumia akili nyingi sana, niwakumbushe tu hawa chadema wakijidanganya kuwafukuza jamii haitakaa iwaamini tena, hapo jamii itaanza kuyaamini yale maneno yaliyo semwa na Lijua likali na wenzake, pia watakosa uwanja wa kusikika ndani ya miaka 5 hivyo watakua na wakati mgumu sana, maana huenda wakasahaliuka masikioni mwa watu. Niushauri tu wawaache kabisa hao wakina mama walitumikie taifa.Mdee amepata tabu sana miaka miwili au mitatu hii kwa ajili ya uchadema wake
Mdee amekaa mahabusu,mdee ana vimeo kibao mahakamani,mdee amefungiwa bungeni mwaka mzima yote kwa sababu ya misimamo ya kichadema,halafu eti sisimizi tu wanamuita mdee msaliti
Kuna watu walijifanya makamanda lakini wamekimbia nchi wanakula kuku kwa mrija na familia zao,Mdee hakuthubutu kukimbia,leo anatekeleza sheria mnamuita msaliti,laana ya Dr Slaa izidi kuwaangamiza
Mkuu,CHADEMA Wako kwenye mitihani sana , ni wazi kuwa watesi wao wanafurahia UCHONGANISHI waliowafanyia ....na wanaona kabisa hawachomoki...., leo wanatakiwa watoe maamuzi ya busara kwakuwa uamuzi wa kuwafukuza utashangiliwa na wana CCM na uamuzi wa kuwabakiza pia utatumiwa kuchochea kuni na wana CCM ....
Kiukweli demokrasia nchini iko kwenye mtihani mkubwa sana ....hakuna shaka kuwa hawa wanamama ni wana chadema kwa moyo kabisa lakini bahati mbaya wamenasishwa kwenye mtego na watesi wao pamoja na chama chao
Hahaha ccm wanadhani wao tu ndio wanaweza kufanya maamuzi, kila maamuzi ya Chadema kwao ni ya hovyo.Mbona hakumtetea Membe alipofukuzwa au Membe hakuwa na mazuri kwenye CCM? HOVYO KABISA HILI LIZEE
Ni wapuuzi sn kakaHahaha ccm wanadhani wao tu ndio wanaweza kufanya maamuzi, kila maamuzi ya Chadema kwao ni ya hovyo.
Chadema tokomeza COVID-19 leo.
Ushauri wenu kaeni nao. Mlishindwaje kumsamehe Membe.Umeongea jambo la mhimu sana na unatumia akili nyingi sana, niwakumbushe tu hawa chadema wakijidanganya kuwafukuza jamii haitakaa iwaamini tena, hapo jamii itaanza kuyaamini yale maneno yaliyo semwa na Lijua likali na wenzake, pia watakosa uwanja wa kusikika ndani ya miaka 5 hivyo watakua na wakati mgumu sana, maana huenda wakasahaliuka masikioni mwa watu. Niushauri tu wawaache kabisa hao wakina mama walitumikie taifa.