kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
CCM inakwenda kukamilisha kazi mpaka muda huu Lissu amebaki kupiga kelele na kuvuta pumzi za mwisho kabla CCM haijatangazwa mshindi wa kishindo,makamanda wamekazana kulalamika twitter tu hajulikani mwenyekiti yupo wapi makamu ni nani wala katibu yuko wapi kila mmoja anasema lugha yake.
CCM hawana huruma na watawavuruga kweli maana mpaka sasa wameshavuna wabunge na madiwani kibao.
Ilitakiwa makamanda viongozi waitishe kikao cha dharura lakini ndio kwanza tumbo kwanza chama baadae,sema kwa kuwa hawana cha kupoteza wacha tuwaangalie.
KUTAFUTA WADHAMINI SIO KUWAFIKIA WAPIGA KURA.
Tukutane uwanja wa Jamhuri siku ya kuapishwa Rais kipenzi cha Watanzania JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI!