Kipindi kile CDM inapuyanga mikoani kupiga makelele kwa MGONGO wa kutafuta wadhamini, CCM ilikuwa kimya utafikiri haijui kinachoendelea , kwa Akili ndogo za Wana CDM na Viongozi wao wakawa wanaji mwambafai kuwa wameishika pabaya CCM, wakasahau kuwa wahenga walisema; "Ukiona tembo kainama jua anatunga Sheria".
Wakati ule CCM imekaa kimya ilitakiwa mujiulize swali la kwanini wapo kimya na Wala siyo kushangilia ukimya huo.
Zaidi ya majimbo 50 kwa Sasa Ni cleansheet kwa CCM na mamia ya kata Ni cleansheet wakati huo CDM macho yote kwa Lissu.
Hii nayo ya wapi?
"Ukiona tembo kainama jua anatunga Sheria".
Hiiiii bagosha!