Nimeskia ratiba za kampeni mtaa wa Saba Dodoma najiuliza hizo ni kampeni za kutangaza SERA ama ni FIESTA?
Wasanii zaidi ya 100; hii ni mpya ya dunia.
Hapo nafikiri wasanii wamepata nafasi ya uzinduzi wa albam mpya walizonazo bure bure!!
CDM wapeni wananchi wanachotaka kukisikia ambazo ni Sera kwenye Elimu; Afya na hasa hasa Kilimo ambacho kinabeba wengi, haya mamiziki mamiziki ni kuwapumbaza watu ili wasipate muda wa kutafakari kwa kina sera badala yake wajikite kumshangaa Diamond na Harmonise!!